Recent content by DACS

  1. D

    Askofu Shoo, KKKT ina mapungufu mengi irekebishe kwanza kabla ya kukimbilia siasa

    Mafundisho ya kanisa na ukristo unakataza kabisa kumuwamba mtu. Kila mtu ni dhaifu. Na kama kiungo cha kanisa kimekuwa dhaifu maandiko yanafundisha namna ya kushauri na kuonya. Hi wewe Britanicca. Ukasikia mtumishi wa kabisa au mtu yoyote akiutaja uovu wako hadharani pasi na kukushauri au...
  2. D

    Askofu Shoo, KKKT ina mapungufu mengi irekebishe kwanza kabla ya kukimbilia siasa

    Brittanica Wewe sio Mlutheri na hujui chchote kuhusu ulutheri. Na elewa Mwenyezi Mungu sio mtu. Unaweza kucheza na kila mtu kwa kila hali lakini huwezi kucheza na mtumishi wa Mungu. Na kama wewe unadhani nakutania. Muda utakufundisha maana kwa hakika nakuambia kiburi cha uzima kingali kina kuvu...
  3. D

    Mbatia ataiabisha UKAWA Vunjo

    Mimi niko mwika. Nataka nikuambie kuwa Mbatia atashinda kwa kishindo. take my words. Hapa ni ukawa tu
  4. D

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Imehairishwa tena. Kesho saa nne mbichi mbivu zitajulikana.
  5. D

    GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    magufuli ameunda jopo akiwa kama nani? Na jopo hilo kitafanya uchunguzi kwa mujibu wa sheria gani? Kwa nini mnamhadaa jk kama vile hakufanya kitu?kwa nini mnapotosha watu? Ndugu mtanzania tii kiu yako kata ccm
  6. D

    Vigogo wa NCCR-Mageuzi kumng'oa Mbatia

    Ajira yako na propaganda za kijinga mwisho tarehe 24 octoba 25 mimi ni ukoo wetu wote tunamchagua Lowassa.Vipi wewe umeshatafuta kazi nyingine baada ya octoba 25.
  7. D

    CHADEMA yameguka vipande viwili

    Nyie wote mnao ihadaa Chadema eti chadema asilia ohoo Slaa.Contract yenu mwisho tarehe 24.Mungu ni mwaminifu na baada ya hapo.Yaliyomapenzi ya Mungu yatatimizwa.Slaa asubiri huruma ya Magufuli.Na ikishindikana hiyo ni bae bai ila chadema itapakia palepale
  8. D

    UKAWA Arusha imeachwa with confusion and disorganisation

    Karibu Arusha kesho. Njoo uone tofauti ya Fiesta na mkutano.Halafu ulizia moshi leo nini kimetokea.Mambo ni mazito.Ulizia polisi wakueleze wanachotaka watu ni mabadiliko.
  9. D

    Mbowe rudisha hela zetu

    CCM mnapambana na nguvu msiyoijua sisi yetu macho.
  10. D

    Magufuli amtia presha Lowassa

    hakuna kipindi Lowassa amekuwa nafuraha kama sasa.Kweli upendo wa dhati ambao Wantanzania tumemuonesha umerejesha afya yake kama tai. Pia tunaomba msamaha ccm kwa niaba yake manaLowassa amewafilisi.Ni shidaa.
  11. D

    Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Ingawa sikujui nakuona kuwa ni mtu unayejua mambo mengi ila kila mara roho yangu imekuwa ikinisukuma kukusihi kuwa usikubali kuchukua pesa na manufaa unayopata kutoka kwa wakubwa ili kupotosha hata maskini.Mungu amekupa neema ya kujua mambo mengi kwa ajili ya maskini na wahitaji. Maisha haya...
  12. D

    Wajinga ndio waliwao, wakati wabunge wa chadema wakichekelea kwenye magego, wa CUF na NCCR waduwaa

    Wewe ni mtu hatari unaeneza ukabila. Unataka madaraka kwa kutumia kigezo cha ukanda na ukabila. Kwa mbinu hii mafanikio yako usipobadilika utakuwa mbali nayo kama mashariki ilivyo mbali na magharibi na ndipo utajua yuko Mungu apendezwae na amani ya watu wake.
  13. D

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  14. D

    Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

    Masaburi hana sifa yoyote ya kuwa kiongozi.Ni hatari anatumua pesa kuwarubuni vijana na kuchafua upinza Na kuambia kama Mungu aishivyo ikiwa tuhuma juu yake ni za kweli mafanikio yake yatakuwa mbali nae kama ilivyo mbali kati ya mashariki na magharibi
  15. D

    Jaji Lubuva kuandika historia mpya ya Tanzania

    Kama wewe ndo Tanzania nzima sawa.Ila kama wewe ni sehemu ya Tanzania tulio kinyume chako ni wengi mno na kwa uhakika magufuli atapata kura ila hazitatosha.
Back
Top Bottom