Magufuli amtia presha Lowassa

Magufuli amtia presha Lowassa

Nasikia jamaa alipotoka tanga haliyake haikuwa nzuri,dokta wake wa ujeruman alishaitwa hapa dar kumsubiri,baada ya kurudi jamaa alipompima licha ya mambo mengine akabaini jamaa ana viashiria vinavyompandisha presha vijulikanavyo kama jopomagufu!!
 
JPM AMTIA PRESHA ENL:
Habari za ndani zinasema kuwa mgombea wa Ukawa amekuwa na tabiaa ya presha kupanda na kushuka kila mara kisa kikitonywa kuwa ni Magufuli,unaambiwa jamaa usingizi wake ni wa tabu kwa kumuwaza jamaa kwa kigezo kuwa jamaa ni muadilifu,mfatiliaji,mtekelezaji na muaminifu na hivyo kuhofu kuwa wananchi walio wengi na wana misimamo watamchagua

Ndoto njema
 
Inafurahisha,endeleeni kutekenyana...
 
Kwa ufisadi wa kutisha alioyufanyia

Kwa tukio la geita la kujinyea

Na maigizo anayoyafanya
kwakweli usipomuwaza lowasa nenda kapimwe akili

Ndoto uliota mwenyewe endelea kujichekesha maadam inakusadia kupata usingizi kwa awamu nyingine.
 
Nasikia jamaa alipotoka tanga haliyake haikuwa nzuri,dokta wake wa ujeruman alishaitwa hapa dar kumsubiri,baada ya kurudi jamaa alipompima licha ya mambo mengine akabaini jamaa ana viashiria vinavyompandisha presha vijulikanavyo kama jopomagufu!!

Ulisikia wapi? Kwenye ndoto? Au Lumumba?
 
JPM AMTIA PRESHA ENL:
Habari za ndani zinasema kuwa mgombea wa Ukawa amekuwa na tabiaa ya presha kupanda na kushuka kila mara kisa kikitonywa kuwa ni Magufuli,unaambiwa jamaa usingizi wake ni wa tabu kwa kumuwaza jamaa kwa kigezo kuwa jamaa ni muadilifu,mfatiliaji,mtekelezaji na muaminifu na hivyo kuhofu kuwa wananchi walio wengi na wana misimamo watamchagua
Kujiunga jf juzi tu leo unaleta uharo kama huu! Ukimaliza mwaka itakuwaje?
 
Kwa kweli katika kipindi ambacho kimekuwa kigumu katika maisha ya Lowasa hakuna kama sasa: Bora hata alivyoenda "vitani" hakukutana na hali ngumu kama sasa, Nasikia hata kama anakula mtu akitamka tu "Magufuli" anasita kula kwa muda na kuangalia kulia na kushoto halafu ndio anaendelea kula. HAPA KAZI TU.

hakuna kipindi Lowassa amekuwa nafuraha kama sasa.Kweli upendo wa dhati ambao Wantanzania tumemuonesha umerejesha afya yake kama tai.

Pia tunaomba msamaha ccm kwa niaba yake manaLowassa amewafilisi.Ni shidaa.
 
Usitudanganye kwasasa Lowasa anawaza MAHAKAMA YA UFISADI itaundwa muda sio mrefu na lazima mamvi akaoge mvua za kutosha.

Ni haki yako kuandika, labda ni kwambie si Edo wala Makufuri ambaye kihakika anajua hatima take baada ya 25/10! Kwa maoni yangu haki ikifuatwa Magurifi anashida zaidi ya Edo, madudu aliyofanya ni mengi, zaidi kuliko ya akina Mramba Na Daniel!
 
JPM AMTIA PRESHA ENL:
Habari za ndani zinasema kuwa mgombea wa Ukawa amekuwa na tabiaa ya presha kupanda na kushuka kila mara kisa kikitonywa kuwa ni Magufuli,unaambiwa jamaa usingizi wake ni wa tabu kwa kumuwaza jamaa kwa kigezo kuwa jamaa ni muadilifu,mfatiliaji,mtekelezaji na muaminifu na hivyo kuhofu kuwa wananchi walio wengi na wana misimamo watamchagua

Magufuli ni kiboko lazima awape presha hao.
 
IT masaki ni kupoteza pesa, makamba angetafuta project mpya
 
Hakuamungu ukitaka mzee yule aanguke jukwan,we pita karibu yake alaf sema au mnong'oneza "magufuli anakuja".walahi utamkuta chini ya ardhi kalowana
 
JPM AMTIA PRESHA ENL:
Habari za ndani zinasema kuwa mgombea wa Ukawa amekuwa na tabiaa ya presha kupanda na kushuka kila mara kisa kikitonywa kuwa ni Magufuli,unaambiwa jamaa usingizi wake ni wa tabu kwa kumuwaza jamaa kwa kigezo kuwa jamaa ni muadilifu,mfatiliaji,mtekelezaji na muaminifu na hivyo kuhofu kuwa wananchi walio wengi na wana misimamo watamchagua

Tatizo ule ugonjwa umemtafuna sana mzee, kumbukumbu zimeondoka na hata kina Mbowe kuna wakati ni vigumu kuwatambua.
 
IT Centre Lumumba & Masaki mnatuangusha.

Uzi nyingine unajiuliza ni mtu mzima mwenyeakili kaanzisha au mtoto,,,,kuna njia nyingi za kuondoa stress hata kama ni kulipwa unalipwa nn sasa kwa hili??mnaaibisha jukwaa tu mambo mengine muwaachie kina mange,,,,,
 
Back
Top Bottom