Vigogo wa NCCR-Mageuzi kumng'oa Mbatia

Vigogo wa NCCR-Mageuzi kumng'oa Mbatia

Majasho

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2009
Posts
413
Reaction score
221
Licha ya jitihada Za kujaribu kuficha hali tete Na msuguano mkubwa uliopo ndani Ya chama cha Nccr Mageuzi, mambo Ni magumu kwa James mbatia.

Mbatia, ambaye ni mwenyekiti Taifa wa chama hicho, anatuhumiwa kutumia madaraka Yake vibaya Na kuvuruga katiba kwa kuendesha vikao visivyokuwa halali.

Aidha, Makamu mwenyekiti wa Nccr Mageuzi (Bara), leticia masore, ambaye Mbatia alitangaza kuwa amesimamishwa Na baadaye kutimuliwa, amesema maamuzi hayo yamefanyika kibabe Na kwamba, bado anaendelea Na wadhifa huo.

Kiongozi mwingine wa juu wa chama hicho, ambaye hakupenda kutajwa jina gazetini, amesema kuwa njama Za Mbatia kukimaliza kabisa Nccr haziwezi kufanikiwa kwa kuwa wanachama wenye mapenzi ya Kweli wapo.

Pia amesema siku Za mbatia Za kuongoza chama hicho zinahesabika na kwamba, vitendo vya hujuma alivyofanya vinatosha.

Akizungumza Dar Es salaam, jana, leticia alisema kikao kinachodaiwa kumvua nafasi hiyo ni batili kwa sababu kilikuwa ni cha kutathimni mwenendo wa kampeni.

Alisema kikao hicho kilichofanyika Septemba 22, Mwaka huu, kimekiuka katiba Ya Nccr ibara Ya 27 (3) kifungu kidogo C.

Alinukuu ibara hiyo kuwa makamo Mwenyekiti wa Taifa ataondolewa Kwenye madaraka baada ya mapendekezo Ya Halmashauri Kuu Ya Taifa kwa zaidi Ya nusu Ya kura Za Wajumbe halali waliohudhuria na kupiga kura, alisisitiza.

Alibainisha Kanuni Za Nccr toleo la Mwaka 2002 zimeweka utaratibu wa kufuata katika kumwajibisha Kiongozi au mwanachama ambazo zinaitiwa Kanuni za nidhamu na usuluhishi.

Kwa mujibu wa Kanuni hizo, alisema mashtaka au malalamiko dhidi Ya mwanachama au Kiongozi, lazima yawakilishwe katika kikao cha utendaji cha ngazi husika kupitia kwa Katibu wa ngazi hiyo Lakini hatua hizo hazikufuatwa.

Alisema, Mbatia amekiuka taratibu Na Kanuni Za chama ambako kikao alichodai kimefanya maamuzi hayo sio halali kwa mujibu wa Katibu Na Kanuni.

Leticia, alisisitiza kuwa kikao hicho kilikuwa cha tathimini Ya uchaguzi kwa Sababu wagombea wa Nccr wamekuwa wanyonge ndani ya ukawa kwa kutelekezwa Na Mbatia.

Alisema, Mwenyekiti huyo hajawahi kufanya kampeni kWenye majimbo yeyote yanayowaniwa Na Nccr badala Yake amezindua kampeni jimbo analogombea la Vunjo.

" masikitiko yangu makubwa ni pale ninapoona Mbatia hadi sasa ameshindwa kutembelea majimbo yetu Ya ngome Ya chama ikiwemo Mkoa wa kigoma Na hata kampeni hazikufunguliwa kwenye majimbo hayo"

" badala Yake amefungua kampeni zake Vunjo tu ameshindwa hata kuona kuwa majimbo hayo yanahitaji msaada" alisema

Pia, alisema Kamati Ya nidhamu iliyoundwa kumjadili hana imani nayo kwa kuwa Ina Baadhi Ya Wajumbe ambao wamekuwa watiifu kwa Mbatia.

" kwa tafsiri hiyo bado naendelea nafasi yangu Na katiba inanitambua nilichaguliwa Na Mkutano Mkuu hivyo wadhifa wangu utakoma kwa hiyari au kufuata utaratibu kwa mujibu wa katiba'" alisisitiza.

HUJUMA DHIDI YA NCCR

Akijibu tuhuma zilizotolewa Na Mbatia kuwa anakihujumu chama Na kutumiwa Na viongozi wa Ccm, alisema watanzania wanapaswa kupima kuwa aliteuliwa ubunge wa Viti maalum na rais kikwete hivyo, kama wakutumika ni yeye aliyezawadiwa Cheo hicho.

Alisema ana haki ya kukutana Na viongozi Na wanachama hivyo kama kuna njama Za kumdhuru Mbatia, vyombo vya Usalama vifanye Kazi na atashirikiana navyo Pindi atakapohitajika.

Alisisitiza kutoridhishwa Na mwenendo wa ushirikiano wa ukawa kwa Sababu Nccr imepewa majimbo machache 12 Na Kati Ya hayo Sita yameingiliwa Na Chadema hivyo, uhakika wa kushinda ni Mdogo.

Kuingiliwa kwa majimbo hayo, alisema Ni njama Za Chadema katika kukidhoofisha Nccr huku mbatia akiwa kimya hivyo, atapigania maslahi Ya chama.

ASHUKIWA KAMA MWEWE
Kiongozi mwingine wa Nccr alisema mbatia amekisaliti chama hicho hivyo siku zake Za kibali a ndani Ya chama hicho zinahesabika.

Alisema mbatia amekuwa akapigania maslahi Yake binafsi Na sio Ya chama hivyo, wao kama viongozi wamelibaini nanwatahakikisha heshima Na maslahi ya chama yanalindwa.

" kipindi kilichopo ni cha uchaguzi hivyo kina mambo mengi yanayotokea tupo katika wakati mgumu kutokana Na Chadema kutumia nguvu kubwa kukiua chama chetu kwa kumtumia mbatia. " tutapigana kulinda chama hiki Na hapo ndio tunajua Kati Ya mbatia na leticia nani ana uchungi a chama Na nani yupo kwa maslahi binafsi," alisema

Aliongeza kuwa, mbatia amesahau katiba Na Kanuni Za chama zikiwemo kumtambua nguvu Ya kikatiba iliyokuwa nayo Halmashauri Kuu ya chama Hasa Kwenye kipindi hichi.

" tunafahamu anaogopa kuitisha Mkutano wa Halmashauri Kuu, nikiwa Kiongozi wa chama Taifa, najua kikao kilichotumika kumsimamisha leticia Si halali na sikushirikishwa zaidi Ya kusoma Kwenye vyombo vya habari, kikAo halali ni Halmashauri kuu," alisisitiza

Septemba 22 Mwaka huu, mbatia alitangaza kumvua madaraka makamu Mwenyeki huyo kwa madai Ya kuhusika Na njama Za kumdhuru Na kutoa lugha Za kashfa dhidi Yake.

Chanzo:
uhuru page 3, octoba 9, 2015
 
Treni liko kasi halisinami kwa mluzi. Ni mwendo wa kuchanja mbuga tu
 
Ama kweli huu ni mwaka wa shetani, wanasiasa wanakufa tu
vyama navyo vinakufa tu...sasa kitabaki nini..?
Jamani tunahitaji kuanza upya siasa za nchi hii kwani
hao wote washa chuja na kuishiwa pumzi , Namaanisha
CCM, CHADEMA, CUF, NCCR , etc
 
" masikitiko yangu makubwa ni pale ninapoona Mbatia hadi sasa ameshindwa kutembelea majimbo yetu Ya ngome Ya chama ikiwemo Mkoa wa kigoma Na hata kampeni hazikufunguliwa kwenye majimbo hayo"

Source: uhuru page 3, octoba 9, 2015
Eti ngome ya chama, nccr ina ngome Kigoma?! Mngejua hao wabunge huko walipatikana vipi msingebwatuka kabisa.
 
RUBBISH NEWS
KUMBE UHURU
->>NO ESCAPEMENT / VYAMA VIWE TULIVU KWA SASA MPAKA UCHAGUZI UPITE!
->>ENDAPO WAMEZAWADIWA FUNGU LA KULETA UHARIBIFU / WALE TU!/
ii
 
Huu ni Mkakati wa CCM kujaribu kudhoofisha nguvu ya UKAWA. Mbatia simama Imara na kuhakikisha kwamba wale wote wanaoleta vurugu kwenye chama chako wanaondolewa haraka iwezekanavyo maana hao wanatumika na CCM na wanakubali kitu kidogo na kupoteza uzalendo wa Kuiondoa CCM Madarakani.
 
Gazeti la UHURU ni gazeti la CCM,sasa ukishaona wanaandika mambo ya vyama vingine au kuwapongeza viongozi wa vyama vingine,hauhitaji akili ya ziada kujua hapo tayari kuna kitu
 
Jaman eti source gazeti la uhuru...mmmh mods futa hii watu wanapoteza muda na habari za ki-ngese ngese tu
 
Licha ya jitihada Za kujaribu kuficha hali tete Na msuguano mkubwa uliopo ndani Ya chama cha Nccr Mageuzi, mambo Ni magumu kwa James mbatia.

Mbatia, ambaye ni mwenyekiti Taifa wa chama hicho, anatuhumiwa kutumia madaraka Yake vibaya Na kuvuruga katiba kwa kuendesha vikao visivyokuwa halali.

Aidha, Makamu mwenyekiti wa Nccr Mageuzi (Bara), leticia masore, ambaye Mbatia alitangaza kuwa amesimamishwa Na baadaye kutimuliwa, amesema maamuzi hayo yamefanyika kibabe Na kwamba, bado anaendelea Na wadhifa huo.

Kiongozi mwingine wa juu wa chama hicho, ambaye hakupenda kutajwa jina gazetini, amesema kuwa njama Za Mbatia kukimaliza kabisa Nccr haziwezi kufanikiwa kwa kuwa wanachama wenye mapenzi ya Kweli wapo.

Pia amesema siku Za mbatia Za kuongoza chama hicho zinahesabika na kwamba, vitendo vya hujuma alivyofanya vinatosha.

Akizungumza Dar Es salaam, jana, leticia alisema kikao kinachodaiwa kumvua nafasi hiyo ni batili kwa sababu kilikuwa ni cha kutathimni mwenendo wa kampeni.

Alisema kikao hicho kilichofanyika Septemba 22, Mwaka huu, kimekiuka katiba Ya Nccr ibara Ya 27 (3) kifungu kidogo C.

Alinukuu ibara hiyo kuwa makamo Mwenyekiti wa Taifa ataondolewa Kwenye madaraka baada ya mapendekezo Ya Halmashauri Kuu Ya Taifa kwa zaidi Ya nusu Ya kura Za Wajumbe halali waliohudhuria na kupiga kura, alisisitiza.

Alibainisha Kanuni Za Nccr toleo la Mwaka 2002 zimeweka utaratibu wa kufuata katika kumwajibisha Kiongozi au mwanachama ambazo zinaitiwa Kanuni za nidhamu na usuluhishi.

Kwa mujibu wa Kanuni hizo, alisema mashtaka au malalamiko dhidi Ya mwanachama au Kiongozi, lazima yawakilishwe katika kikao cha utendaji cha ngazi husika kupitia kwa Katibu wa ngazi hiyo Lakini hatua hizo hazikufuatwa.

Alisema, Mbatia amekiuka taratibu Na Kanuni Za chama ambako kikao alichodai kimefanya maamuzi hayo sio halali kwa mujibu wa Katibu Na Kanuni.

Leticia, alisisitiza kuwa kikao hicho kilikuwa cha tathimini Ya uchaguzi kwa Sababu wagombea wa Nccr wamekuwa wanyonge ndani ya ukawa kwa kutelekezwa Na Mbatia.

Alisema, Mwenyekiti huyo hajawahi kufanya kampeni kWenye majimbo yeyote yanayowaniwa Na Nccr badala Yake amezindua kampeni jimbo analogombea la Vunjo.

" masikitiko yangu makubwa ni pale ninapoona Mbatia hadi sasa ameshindwa kutembelea majimbo yetu Ya ngome Ya chama ikiwemo Mkoa wa kigoma Na hata kampeni hazikufunguliwa kwenye majimbo hayo"

" badala Yake amefungua kampeni zake Vunjo tu ameshindwa hata kuona kuwa majimbo hayo yanahitaji msaada" alisema

Pia, alisema Kamati Ya nidhamu iliyoundwa kumjadili hana imani nayo kwa kuwa Ina Baadhi Ya Wajumbe ambao wamekuwa watiifu kwa Mbatia.

" kwa tafsiri hiyo bado naendelea nafasi yangu Na katiba inanitambua nilichaguliwa Na Mkutano Mkuu hivyo wadhifa wangu utakoma kwa hiyari au kufuata utaratibu kwa mujibu wa katiba'" alisisitiza.

HUJUMA DHIDI YA NCCR

Akijibu tuhuma zilizotolewa Na Mbatia kuwa anakihujumu chama Na kutumiwa Na viongozi wa Ccm, alisema watanzania wanapaswa kupima kuwa aliteuliwa ubunge wa Viti maalum na rais kikwete hivyo, kama wakutumika ni yeye aliyezawadiwa Cheo hicho.

Alisema ana haki ya kukutana Na viongozi Na wanachama hivyo kama kuna njama Za kumdhuru Mbatia, vyombo vya Usalama vifanye Kazi na atashirikiana navyo Pindi atakapohitajika.

Alisisitiza kutoridhishwa Na mwenendo wa ushirikiano wa ukawa kwa Sababu Nccr imepewa majimbo machache 12 Na Kati Ya hayo Sita yameingiliwa Na Chadema hivyo, uhakika wa kushinda ni Mdogo.

Kuingiliwa kwa majimbo hayo, alisema Ni njama Za Chadema katika kukidhoofisha Nccr huku mbatia akiwa kimya hivyo, atapigania maslahi Ya chama.

ASHUKIWA KAMA MWEWE
Kiongozi mwingine wa Nccr alisema mbatia amekisaliti chama hicho hivyo siku zake Za kibali a ndani Ya chama hicho zinahesabika.

Alisema mbatia amekuwa akapigania maslahi Yake binafsi Na sio Ya chama hivyo, wao kama viongozi wamelibaini nanwatahakikisha heshima Na maslahi ya chama yanalindwa.

" kipindi kilichopo ni cha uchaguzi hivyo kina mambo mengi yanayotokea tupo katika wakati mgumu kutokana Na Chadema kutumia nguvu kubwa kukiua chama chetu kwa kumtumia mbatia. " tutapigana kulinda chama hiki Na hapo ndio tunajua Kati Ya mbatia na leticia nani ana uchungi a chama Na nani yupo kwa maslahi binafsi," alisema

Aliongeza kuwa, mbatia amesahau katiba Na Kanuni Za chama zikiwemo kumtambua nguvu Ya kikatiba iliyokuwa nayo Halmashauri Kuu ya chama Hasa Kwenye kipindi hichi.

" tunafahamu anaogopa kuitisha Mkutano wa Halmashauri Kuu, nikiwa Kiongozi wa chama Taifa, najua kikao kilichotumika kumsimamisha leticia Si halali na sikushirikishwa zaidi Ya kusoma Kwenye vyombo vya habari, kikAo halali ni Halmashauri kuu," alisisitiza

Septemba 22 Mwaka huu, mbatia alitangaza kumvua madaraka makamu Mwenyeki huyo kwa madai Ya kuhusika Na njama Za kumdhuru Na kutoa lugha Za kashfa dhidi Yake.

Source: uhuru page 3, octoba 9, 2015

Ajira yako na propaganda za kijinga mwisho tarehe 24 octoba 25 mimi ni ukoo wetu wote tunamchagua Lowassa.Vipi wewe umeshatafuta kazi nyingine baada ya octoba 25.
 
Ah! Kumbe chanzo chako ni gazeti tena la Uharu! Mpeni maji ya kutawadha huyoooo mwandishi. Upuuzi huu utaisha tuu. Siku si nyingi. Mlishindwa kuimaliza UKAWA pale pale mwanzo mkabaki kuwazomea ati watarudi kusaka posho za kuwapinga wananchi. Mmepotea, sasa tulieni tu mtuachie nchi kwa amani.
Ati mwisho wa Nccr. Hamjui hatuhitaji utitiri wa vyama katika kuiangamiza ccm?? Poleni zenu
 
Back
Top Bottom