Recent content by daapolyn

  1. daapolyn

    JamiiForums Tanzania Lukuvi ulikiwa unakusanya kodi ya majengo ili uje utubomolee nyumba?

    Kwakwelii damu na mikojoo bhatachuruzikaa[emoji36][emoji36] waache kutuchezea sikinde za bhokasa ya ngoso...
  2. daapolyn

    JamiiForums Tanzania Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

    Nw majambazi yanavamia mchna kweupe siyo tbata siyo sinza sikisikii hta askari kusema chochote wanakujaa aft one hr baada ya tukio wakitoka hpo kimyaa hivi huyu RC anaongea nn
  3. daapolyn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke: Dalili kwamba very soon utaisaliti ndoa yako

    Factss...yamenikuta hya sema alikuwa ni mchumba niliyeza naye
  4. daapolyn

    JamiiForums Tanzania Nampongeza,kumtia moyo na kumuombea kwa Mungu Mh.Tundu Lissu

    Aminaa
  5. daapolyn

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwaka mmoja na miezi nane kupata kinyesi cheusi

    Hiyo ni dawa wala si tatizo pia hutokea hta ukimpa dawa hasa ya rangi nyekundu n.a. kuna dawa moja ya vitamin huwa Batavia hyo anatoa kinyesi cheusi mpka akee sawa
  6. daapolyn

    JamiiForums Tanzania Tahadhali: Wizi wa Mb Halotel

    Kweli kabisaa nilijua Mimi tuu ni wezii aisee hapo hawali haikuwa hivi tena usiombe ujiunge cha wiki ndani ya cku moja kimeisha
  7. daapolyn

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Daaaahhh aisee hivi bunge si muhimili huru au ??sasa wabunge wanatawaliwa na wenyewe kila kitu kimekuwa uvundoo mtupu kwahyo ile juzi zile ngumi mtu kukatisha eneo la ccm mkulu ndio anapenda vile
  8. daapolyn

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji4][emoji4][emoji38]yes try it
  9. daapolyn

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Haitokii kwenye nguo mwaka mzima
  10. daapolyn

    JamiiForums Tanzania Mtiririko wa Elimu ya Mh. Makonda katika ngazi ya Kidato cha Nne unafifia

    Sikiliza vizur hapo mama ake anasema yeye upendelea kumuita daud jina lake la ototoni means Paul ni jina la ukubwani[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]
  11. daapolyn

    JamiiForums Tanzania Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Very sad poleni sana mliopoteza ndugu na jamaaa kweny ajar hyo na. Mungu azilaze roho za marehemu Mahali pema peponi
Back
Top Bottom