Recent content by Da silver

  1. Da silver

    JamiiForums Tanzania Simba kwanini tunashindana na Yanga?

    Hapo vip?
  2. Da silver

    JamiiForums Tanzania Tuwaenzi wachezaji wa soka wa zamani na sasa

    Bila kumsahau Ezekiel Grayson...jujuman
  3. Da silver

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Mkuu walinzi wa custom pale Wana mambo ya hovyo Sana mm tulifikishana mpaka polisi kisa nimepiga picha kwenye parking ya malori ila Ngoma iliwageukia wakaanza kuniomba niwapoze hata Hela ya mafuta kidogo coz walitumia gari yao ila nikawakazia
  4. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejiskia vibaya kutelekezwa porini na shemeji yangu usiku kuamkia leo

    Isome kwa makini mkuu alipigiwa Simi saa 4 usiku akaondoka hiyo saa 9 ni wakati anarudi ndo kapata break down..
  5. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

    Kiwanja & smart phone
  6. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ex-wangu nakukumbuka sana, natamani urudi

    Yeah hapo inazungumziwa pesa, noti, ngawira, alizopata ujanaini akazichezea nazo zikatembea!! Sio mwanamke..
  7. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale ambao ndugu zetu wa damu(kaka na dada) wameoa au kuolewa na waliokuwa rafiki zetu wapendwa tukutane hapa.

    Aisee! Kwel binadamu tunatofautiana, mm nilikua na jamaa yangu ananiletea dada ake mpaka ghetto ki roho safi kabisa![emoji23]
  8. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatari sana
  9. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu kwaiyo huyu Dr alivaa gauni na sketi kwa pamoja? au Mimi ndio sijaelewa[emoji56][emoji56]
  10. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sintoisahau Mbeya na wasafwa

    Yeah! Shida haikua pesa, Kiuchumi hakua haba.
  11. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sintoisahau Mbeya na wasafwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sintoisahau Mbeya na wasafwa

    Hapana mkuu.
  13. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sintoisahau Mbeya na wasafwa

    Kuna muda inafika point kama binadam unashindwa kustahimili..
  14. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sintoisahau Mbeya na wasafwa

    Usipokua na ustahimilivu unaushia jela..
  15. Da silver

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sintoisahau Mbeya na wasafwa

    Ukweli usiopingika ukiwa legelege Wana kukalisha.
Back
Top Bottom