Recent content by Da Lu

  1. Da Lu

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Mungu ambariki sana aliyeanzisha huu uzi. Sent from my SM-A346E using JamiiForums mobile app
  2. Da Lu

    JamiiForums Tanzania Buy it for Life: Tujuzane brand ama model za bidhaa zinazodumu kwa muda mrefu ili tuepukane na usumbufu wa kununua upya

    Fridge - westpoint Brenda - Kenwood Tv - Samsung Pasi - Phillips
  3. Da Lu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wote, hivi unaweza kuwa na rafiki wa karibu na mume wa mtu au mke wa mtu bila kuwanaye kwenye mahusiano ya kimapenzi?

    Ndio inawezekana kama ngono sio kipaumbele chako.
  4. Da Lu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Awe mweusi au mweupe ili mradi tu anizidi urefu.
  5. Da Lu

    JamiiForums Tanzania Kwa mshahara wa Tsh. 765,000/= nikizama benki naweza kopesheka kiasi gani?

    Unapokosea halafu mtu akusahihishe ni jambo la busara sana.
  6. Da Lu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machache niliyogundua kuhusu wanawake kwenye mahusiano

    Kwani hata Mungu si alishasema uishi nae kwa akili.
  7. Da Lu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliyojifunza Kuhusu maisha

    Kunyamaza wakati mwingine unaepusha vitu vingi sana.
  8. Da Lu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majibu Kuntu ya kwanini ndoa nyingi zinavunjika sana siku hizi haya hapa

    Kwenye mavazi sina uhakika sana maana nimeshuhudia watu wengi wa karibu wakishaolewa ndo wanaanza kuvaa stara.
  9. Da Lu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakata tamaa? Pambana, njia bado ni nyeupe, 2024 hodi, 2023 ilikupa funzo gani?

    Mwaka 2023 umenifunza kumtegemea Mungu peke yake na wala si mwanadamu.
  10. Da Lu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji matumaini ndani ya nafsi yangu, semeni chochote kinisaidie

    Soma Zaburi 23
  11. Da Lu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa fursa za Biashara Madagascar na Mauritius

    Shukrani Mkuu
  12. Da Lu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa fursa za Biashara Madagascar na Mauritius

    Asante sana Mkuu, viungo nipeleke Mauritius au Madagascar?
  13. Da Lu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa fursa za Biashara Madagascar na Mauritius

    Habari zenu Great thinkers? Naomba kujua fursa za biashara zilizopo katika nchi mbili nilizozitaja hapo. Ni bidhaa gani naweza kutoa Tanzania nikapeleka huko au ni bidhaa gani nitaitoa huko nilete Tanzania. Karibuni wapendwa
Back
Top Bottom