Recent content by Da Gesh

  1. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

    twinzaa
  2. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Nyumba 236 zaharibiwa na mvua Chato mkoani Geita

    duuuh naona na TBC wanatangaza saiv
  3. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Msanii Barnaba wa THT aomba 'kolabo' na rais

    Poa mkuu ila kwa anayejitambua ku mention hivyo vitu sio big deal maana bado ungeeleweka kuwa umesikia redioni. Na log out hapa kwenye iphone 6 yangu :):):):):):)
  4. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Hatari
  5. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Wanaume; Dada zetu wanalalamika sana hawafiki kileleni, acheni kuzingua

    Mkuu we ndo msemaji wao?
  6. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanafunzi wenye diploma hawastaili kupewa mikopo?

    Mikopo diploma holders huwa wanapata ila inategemeana na course (kwa miaka yote iliyopita) kama ni za kipaumbele. Mfano rahisi nenda SJUT Dom education pale asilimia kubwa wameingia kwa equivalent qualifications na wana mkopo wote
  7. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Jamanii bongo muvi Mungu anawaona"

    Nilichoka nilipoona jini anavuka barabara af anaangalia kushoto na kulia ili avuke. kuna ile nyingine mtoto wa mtaani kaokota mkate jalalani eti umepakwa blueband
  8. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

    pole mkuu. mimi 2009-2012 ilikuwa balaa, unaamka saa kumi alfajiri wakija inservice watu wazima wana overtake kwenye line sisi ndo bado wadogo ilikuwa shida.
  9. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Wakuu mnyama Karungu yeye anahitaji msaada!!

    mkuu na wewe umekamatwa, ule mdomo wa yule wa kwanza mwekundu huu mbona mweusi?
  10. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Wakuu mnyama Karungu yeye anahitaji msaada!!

    Hhahaaaaa kama kweli asee,afanye hivyo. Ila ni wanyama wanaopatikana kwa wingi sana maeneo ya Dodoma
  11. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Jf pazuri jamani

    Asante sana mkuu
  12. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Jf pazuri jamani

    Sawa mkuu
  13. Da Gesh

    JamiiForums Tanzania Nataka kumpeleka mke wangu chuo lakini roho inasita

    Aliwazalo mjinga ndio litakalomtokea
Back
Top Bottom