Wakuu mnyama Karungu yeye anahitaji msaada!!

Wakuu mnyama Karungu yeye anahitaji msaada!!

Eti watu hudai huyo mnyama ni bahati kubwa sana kijijini kwetu huwa wapo wengi ila sijui msosi wao ni nini?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] bei pouwa tu kwa wakuu wenzangu wa humu JF, kwn si unaonaga nyuzi zangu za biashara za simu humu?, ukihitaji smartphone ya ukweli na latest yaan fanya kunichek tu 0654776976.
JF imevamiwa. Yaani kuanzisha thread kote unataka kuuza simu?
 
JF imevamiwa. Yaani kuanzisha thread kote unataka kuuza simu?
Hiyo unajua wewe...sasa mtu kauliza na anahitaji simu niliyotumia kupiga picha huyo mnyama, ulitaka nimjibu akaitafute porini km kwenye vichaka vya huyo mnyama...wakat mimi mwenyewe mwanzirishi wa hii thread nauza hizo simu??? Wabongo hamuendelei sababu ya majungu yenu na viroho kwatu, Yaaan hampend kuona!!!
 
Jaribu kuwasiliana maafisa wa wanyama au Zoo yoyote iliyokaribu kwa kuwadadisi jinsi gani hao wanyama wanaishi afu utamlea kwa kipindi flani kisha utamuachia aendelee na maisha yake, usije ukampeleka kwenye Zoo hio ni sawa na kumpeleka jela huwa sipendi kabisa watu wanaowaamisha wanyama kwenye mazingira yao halisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom