Recent content by Da Dinnah

  1. Da Dinnah

    Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

    Hahahahhha umeua
  2. Da Dinnah

    Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

    Nipo wangu, asante sana wangukwa kunikumbuka
  3. Da Dinnah

    Mke anatambia ndumba za ukeni!

    It feels good, kama utakaa kwa amani na kujisikia raha kwamba umependwa naturaly,hiyo tu yatosha
  4. Da Dinnah

    Is someone teaching my wife sex tricks?

    Kuna mabikira kibao yanauzwa masokoni humu,alikuwekea tu itakuwa
  5. Da Dinnah

    Is someone teaching my wife sex tricks?

    Dina marios anaongelea sana namna ya kuhandle mume na mke, na hata true love website,manhealth nk
  6. Da Dinnah

    Is someone teaching my wife sex tricks?

    kweli kabisa,hayo ni mawazo mgando, na vijarida kibao siku hizi vya kusoma,movie pia laaaaaaa
  7. Da Dinnah

    Fanya madudu yote uwezayo lakini linapokuja suala la familia heshima mbele - Wanaume

    Gayo, jina lako linanikumbusha nyumbani,the rock city, unayosema ni kweli kabisa,inasikitisha kuona libaba linamjengea kimaga ilhali lenyewe liko nyumba ya kupanga, au kanyumba kake kabayaaa,linajenga gorofa,haipendezi,nina dada yangu ndugu wa mbaaalii, anagorofa kabisaaaaa,kajengewa na mume wa...
  8. Da Dinnah

    Ndoa bila Tendo......Msaada

    Wanaume mna matatizo gani, na wewe inaonekana unajisahaulisha kumshughulikia mkeo,ngoja yakukute
  9. Da Dinnah

    Ndoa bila Tendo......Msaada

    Ndoa hizi jamani, sipati picha, ningeisimamisha hata kwa kuimba kasimama peke yake ......
  10. Da Dinnah

    Tujadili: About the love life

    Kweli kabisa, coz naempenda mie nimkeep wala hana mvuto wa muonekano kama anaenipenda, he just luck some man candy flavour,lolest......
  11. Da Dinnah

    Tujadili: About the love life

    Yaani, usiombe kujilazimisha kukaa na mtu usiyempenda, daaaaaa, kwa kweli hili nalo neno,ahsante dear,mambo gani haya hadi unywe pombe ndo uweze kunanihii la sivyo ....
  12. Da Dinnah

    Mambo 30 yanayokuonesha kuwa sasa umri umekutupa mkono....

    Mie zote hapo juu and im only 26
  13. Da Dinnah

    Tujadili: About the love life

    Mbona kuna wadada na wakaka wa kawaida kabisaa, wameng'ang'aniwa na wapenzi wenye pesa? mi nadhani ni bahati tu.au the way you play your cards
Back
Top Bottom