Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

Basi mim siowi hadi nifkishe miaka 38.. Ni mwendo wa kupiga shotime tu!
 
Wanaoishi mikoani ila si vijana wa dar es salaam offcourse nimeshafanya kazi mikoa sana vijana wanasimamia show vibaya sana ila si vijana wa dar es salaam yaani aibu wanatia aibu

Unaonekana kicheche sana mkuu
 
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!

Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi, mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?

Nimefanya reserch yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini? Sijui vyakula, sijui haraka, sijui stress za maisha hamko stable.

Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.

Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa!

japo sifanyi mazoezi, na nna mwili wa kawaida wa kazi na nakula chakula cha kawaida tu, lakini ktk game najihaminia sn.
maandalizi nafanya vizuri sana na pia nacheza hadi dakika za nyongeza....... acha mapenzi ya wiziwizi ndio shida ni kama jogoo anavyopanda.
 
inaonekana una uzoefu,mmmh kama mpaka vijana wa miaka 20 wametalii na ukajua wametalii bila kuridhika basi noma
 
Tatizo lao ujuaji mwingi, mtu utakuta anapump utadhani anakimbizwa, sababu yuko young na energy iko juu, anatumia miguvu kuliko maarifa,yaani dakika tatu mtu anataka style kumi khaaaa, na bado watu wazima watawabit sana tu, watu wazima wanachukua muda wao taratibu, hawana haraka, na asikwambie mtu bwana, ukitaka kumfikisha mwanamke mambo taratiiiibu, kamanyola bila jasho game moja style zisizidi mbili au tatu na ukiona mpenzi wako anagoma ujue ile iliyopo ndio alikuwa anafeel something, mibaba oyeeeee
 
Ukweli ni mgumu kukubalika. Baada ya miaka kadhaa ni janga kubwa la kitaifa.
 
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!

Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi, mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?

Nimefanya reserch yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini? Sijui vyakula, sijui haraka, sijui stress za maisha hamko stable.

Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.

Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa!

Changu huwa hafikishwi kileleni
 
Duh this is shocking lool hyo research

umejifanyia wewe wt all those 6 men?!!
 
Unaona sifa kutembea na wanaume wengi, sikutegema maishani kwangu kusikia mwanamke anajisifu kisha lalwa na wanaume kama sita, vijana watatu na wazee watatu.

Wanawake wengine wanakuwa na mwanaume mmoja tu katika maisha yao, na wanatosheka nao.

Wewe lazima utakuwa na kasoro tu.
 
Back
Top Bottom