Recent content by D___________Loy

  1. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Vijana

    Vijana wa Mgodini wanavimba sana ukifika Katoro. Wanapanda Juu ya meza mpaka kwenye vibanda vya watu. Vijana wa Katoro acha Ulevi wa ajabu 😂
  2. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

    Nipo Jimbo la Kitwana! Jamaa alikuwa mtu poa sana mwenye akili ya juu sana (IQ). Tuendelee kuwaombea watu kama hawa wawepo.
  3. D___________Loy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

    Kijana ule ni mtihani wa kupima maamuzi yako. Akisema wahi sema bado naongeza. Atakuheshimu milele. Usiwahi kutoka wakati wewe ndo kakupa nafasi.
  4. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Dakika 11 zilizopita Sunday 15 June 00:10 Israeli intelligence has confirmed that another wave of Iranian missiles is expected to target Israel as the night progresses. TV footage showed a series of massive explosions at unidentified installations in the port of Haifa as the Israeli Iron Dome...
  5. D___________Loy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nguvu gani inayofanya mwanamke na mwanaume wajamiiane?

    Kuna Nguvu za Kiza hapo
  6. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Betting imenifanya masikini wa kutupwa

    Habari. Nimekuwa mtumiaji wa 1XBET kwa miaka 8. Lakini Baadaya kufanya update imegoma inasema haipatikani nchini. Natumia simu ya IOS (Iphone 7plus storage ni 128GB.
  7. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Hii Kauli ya Samia leo imeweka wazi tatizo lipo wapi. Watu Wenye Akili wasikitika sana

    Nimeelewa kwamba mama anateua majitu.
  8. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa sasa unapata huduma?
  9. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu Naomba kufahamu kama 1XBET nao wamefunga mkataba Tanzania! Maana ku update unadai Not available in my region or Country
  10. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

    Kijana wangu Husein Machozi namfahamu tokea akiwa mtafutaji Mkoa wa Kagera akiishi hapo Karega Sugar Camp. Kijana mpenda haki na hataki manyanyaso. Hongera mzee wa Gheto. Ruge amewaumiza na kuwatapeli sana wasanii akiwemo Saida Karoli.
  11. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

    Wanyarwanda Wamejaa sana pale. Alafu wanapenda mbososo
  12. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

    Rainbow Dom pa ovyo
Back
Top Bottom