Recent content by d.one

  1. D

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo ni Mkenya anayeitumia CNN Kuichafua Tanzania Kimataifa ili Kuinufaisha Kenya. Serikali ifanye uchunguzi na kumpa Onyo Kali

    Mzee kama umelipwa rudisha tu pesa za watu maana kila mtu ameona kilicho tokea
  2. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

    🤣🤣🤣
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inauma sana na haivumiliki

    Kuweni makini na mapenzi😀😀😀
  4. D

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Ttcl ilikua pia ni option nzuri sema ndo vile haipatikan maeneo yote ukiangalia kwa bei za package zao..
  5. D

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Kuna ambae ameshawahi kutumia hawa jamaa wa konnect? Je speed yao ipo vipi? Je mfumo wa satellite wanaotumia hau hathiliwi na hali ya hewa kama tunavo ona kwenye ving'amuzi?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Nawezaje kui unlock hii itumie network zote? Now ni tigo tu ....model M022T
  7. D

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mradi wa umeme wa upepo kule singida ulifikia wapi au haupo hai?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ndio kwa dar
  9. D

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Shukran mkuu ngojaa niitafte hyyoo 1.4m kwaajili ya hyo cj98
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

    Tafuta pesa
  11. D

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kati ya hii lg LHD677 sound tower na hii lg CJ98 ipi inatoa mziki wenye quality zaid?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: King'amuzi changu cha Azam kimegoma

    Itabid tu niki safirishe maake ndo walivo nambia pia customer service
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: King'amuzi changu cha Azam kimegoma

    Jamaa wana nambiaa nikipeleke tazara wakiangalie kwa maana nikisafirishe toka mkoa
  14. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: King'amuzi changu cha Azam kimegoma

    B Bando kivipi yan?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: King'amuzi changu cha Azam kimegoma

    😁😁😁 sema shida sio cable wala pin kuregea maana nikifunga kingine kinaonesha safi tu ila hiki hamna
Back
Top Bottom