Mkuu nilishawahi kuwa na Noah na ikawa na hilo tatizo, nilipouliza kwa wataalam wakaniambia tairi zimeisha nibadili tatizo litaisha, nikabadili zile tairi za mbele na kweli lile tatizo likaisha sikuona tena vibration ya steering at 85km/h na kuendelea, jaribu kucheki tairi zako za mbele...
Hi! Wanajamii naomba mnisaidie chuo ambacho kinatoa distance learning kwa level ya diploma kwa hapa nchini kwa masomo ya engineering. Masomo hayo yaweni diploma ya Electrical Engineering, Mechanical Engineering na Electronics.
Asanteni sana.
kwa hili lazima ang'oke mmoja mmoja, hapo sasa ndo tunaona nani tumbili ha ha haaa, inafikia kipindi unabaki kucheka tu japo una maumivu makali moyoni.
Kwa hili la IPTL lazima wang'oke aisee, si walisema wenzao ni matumbili, sasa hao hao matumbili ndo watawafanya mbaya, daaah hawa jamaa kiukweli unafika mahali unaanza kucheka tu japo una maumivu makali.
swala la kuoa lataka kutulia na kutafakari sana, unaweza kumuoa mwenye pesa halafu bado ndoa yako isiwe na furaha, pia unaweza kuoa asiye na kazi bado maisha yakawa hayaeleweki, kaa chini tulia muombe Mola akupe mke mwema haijalishi ni muajiliwa au asiye na kazi, tafakari, chukua hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.