Recent content by cyrustheruler

  1. cyrustheruler

    JamiiForums Tanzania Luis Jose Miquissone asajiliwa rasmi Simba leo

    Simba ni motooo! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. cyrustheruler

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongeza muda kwa usajili wa laini kwa alama za vidole

    Ordoabbchao /heggelian dialectical in the making Sent using Jamii Forums mobile app
  3. cyrustheruler

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege nyingine 3 kuwasili mwakani. Wahudumu wa ATCL wana ‘shape’ nzuri

    We produce what we doesn't consume and consume what we doesn't produce asante mwalimu Mfecane Sent using Jamii Forums mobile app
  4. cyrustheruler

    JamiiForums Tanzania Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

    https://chat.whatsapp.com/IqEB3dCnYpe9FQz8raT2ap Ungana na watu walio na Passion ya kusoma vitabu kama wewe Katika THE MAIN LIBRARY bure kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. cyrustheruler

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2019?

    https://chat.whatsapp.com/IqEB3dCnYpe9FQz8raT2ap Main Library Ungana na wasomi wote wa vitabu na pata vitabu vyote bure. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. cyrustheruler

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zambia wana malls nyingii na hawajisifu kama hawa jamaa zetu wa Kenya

    You've nailed it I don't remember when was the last time I 'd been to the shopping mall with all this online sellers why should I bother go to malls? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. cyrustheruler

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zambia wana malls nyingii na hawajisifu kama hawa jamaa zetu wa Kenya

    You've nailed it I don't remember when was the last time I 'd been to the shopping mall with all this online sellers why should I bother go to malls? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. cyrustheruler

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I'm looking for matured Man to be my husband

    Mimi ni mwanaume mchafu sana nisiyependa kuoga na kupiga mswaki meno yatachakaa ila nina huba kweli kweli niPM tuyajenge. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. cyrustheruler

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke unapoolewa isiwe sababu kuongeza majukumu kwa mumeo kisa ndugu zako

    Upo sawa kabisa mkuu hii ndio dawa gawa majukumu wafundishe stadi za maisha na kazi watakushukuru ama watakusema kwa ndugu zao Sent using Jamii Forums mobile app
  10. cyrustheruler

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

    Sure nilikaa pale mahali miaka 2 nikashindwa mwenyewe nikarudi Dar cha ajabu sasa panavyosifiwa na wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  11. cyrustheruler

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimetapeliwa

    Sikumbuki nimemuona wapi huyo jamaa wa miwani na shati ya zebra stripes ila ni katika yard za magari mikocheni sura sio ngeni
  12. cyrustheruler

    JamiiForums Tanzania Watanzania mliotoka mkoani Dar kuja makao makuu Dodoma acheni ushenzi vingenevyo tutagawana mbao

    Ni unyenyepaa tu katika format nyingine
  13. cyrustheruler

    JamiiForums Tanzania Toka nimeacha haya na kufanya haya naona mabadiliko makubwa sana

    Hiyo ya walet ni kweli mimi nilikuwa naumwa sana mgongo nilikuwa na walet nimeachana nayo na nnaona nimepona pia mazoezi ya kulala chini ninafanya sana kuondoa uchovu yanasaidia
  14. cyrustheruler

    JamiiForums Tanzania Wasabato kaeni macho na hii kwaya

    Kazi inaendelea aseee!
Back
Top Bottom