Rais Magufuli: Ndege nyingine 3 kuwasili mwakani. Wahudumu wa ATCL wana ‘shape’ nzuri

Hata wakitoa matusi Mkuu

Kazi ya Rais Magufuli inaonekana dhahiri
Sana bro ! I tell you come 2025 watanzania tutakua anga zingine kabisa ! The best place ever. Tulicheleweshwa mno ! JPM ipaishe nchi yetu, tunakuombea sana. Najua ntapopolewa mawe humu Divided Republic of JF country lakini habari ndio hiyo.
 
Hongera JPM,; Asanteni GTJF, Tulipaswa focus ndege ndogo masafa mafupi kwa ndani.Kwa nje yapo mashirika mengi shindani tuwe na mahusiano na mengi tuwezavyo.Tupokee watalii na kuwatawanya kwa ndege zetu.Same kwa ndege za mizigo.Angalizo wapambe kataeni kuhudhuria sherehe mapokezi ndege mnasapoti ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani tuki squeeze dreamliner ikachukuwa pax 300@100,000 DAR-MWA itakuwa Mil 30. NI.kweli haitotia faida?
 
Back
Top Bottom