Recent content by cyrusthegreat

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake pendeni kuvaa nguo za ndani

    Kiufupi wanawake wanaachia hewa itamalaki katika maeneo hayo which is very good
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

    Nimetembea njia yote ya kati nikawa nashangazwa na aina ya machata yake nikajiridhisha kwamba kama ni yy aliyepiga machata yale basi tumbaku ya tabora ndio inaleta matokeo yale!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Je, manii/shahawa zina madhara kiafya iwapo nitazimeza?

    Sio kila kiingiacho mjini...!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Sheria ya Uhalifu wa Kimtandao, Wengi wameanza kujitoa kwenye Magroup

    Sijawahi kuona sheria la hovyo kama hili sheria isiyo na sheria haielezi taarifa zipi ni jinai hoja ya lugha zilizotumika na maana zake ni "andhaa kanoon" tupu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wiki moja katika siasa ni sawa na mwaka mzima katika masuala mengine

    Hihi pachiko limetekenya mbongo zetu sana!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Hivi ni nani asomjua polepole ni sisiemu wa kufa na kuzikana?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

    Hata mm ndio nimebadilisha upepo asbhi hii kura zimehamia ukawa sasa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tigo waja na wizi mpya kwa wateja

    Sijawahi kuona "uhodombi " wa kiwango cha degree kama huo waache kutuibia pesa line za simu kurenew line imekuwa ni anasa sasa.
  9. C

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mm ni mwalimu nipo manispaa ya tmk nahitaji kuhamia kinondoni tuwasiliane niPM
  10. C

    JamiiForums Tanzania Daktari: Ulaya kamwe hawang'oi meno, wanakarabati

    Hapa kwetu meno tunasafisha meno kwa mafuta ya taa tu inatosha.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    Bongo yangu inashindwa kuchakata hii data ya "ufeki"ivi hamkua na wito kumbe mlipojivika vazi la utumishi asee haikaii bongoni mwangu yaani mmejenga safina alafu hamuingii ndani yake "Kamesi"wakubwa nyie tubuni mkabatizwe nanyi mtapokea kipawa cha roho!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana warembo wanawadharau sana wanaume walimu wa shule za msingi na secondary?

    Ivi kazi ya watu smart duniani inafundishwa na kina nani?ujue kuna unyenyepaa wa aina nyingi sana humu duniani na huu wa kiprofeshno nao umeakuwa ukipanda chati sasa .
  13. C

    JamiiForums Tanzania Shilole akutana na Rungu la BASATA, Afungiwa mwaka mmoja kujishughulisha na shughuli za sanaa

    Mbona ukitenda dhambi duniani mbinguni unaadhibiwa kwa sheria za mbinguni!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Shilole akutana na Rungu la BASATA, Afungiwa mwaka mmoja kujishughulisha na shughuli za sanaa

    Kazi yake ya zamani ilikuwa ni ualimu akiwa ameajiriwa kwa masharti ya KUDUMU akavuta bangi usiku mmoja alipoamka akaacha kazi na kujiajiri ajira hiyo ya kusaula maungo mbele ya jamii asante BASATA mmefanya kazi nzuri sana!
Back
Top Bottom