Kluger model 2005 to 2007 vs Subaru forester 2008 to 2011
Sijui ipi wakuu itanifaaa kichwa kinazunguka sielew kabisa.
Lakin naitaj gar yenye nguvu,comfortable barabaran ,rough road iwe vzur plus mantainance spare ziwepo
Kluger model 2005 to 2007 vs Subaru forester 2008 to 2011. Sijui ipi wakuu itanifaaa kichwa kinazunguka sielew kabisa.
Lakin naitaj gar yenye nguvu, comfortable barabaran ,rough road iwe vzuri plus mantainance spare ziwepo
Acha mawazo potofu,agha khan ni one of the best hospitals in tz,,,ina wataalum waliobobea na huduma bora lakin pia mfuko wapo lazma uwe umeshiba,,,unajua hao wote walikua wanaumwa nin?
Endelea kuchukua tahadhari na jikinge
Natafuta kiwanja kikubwa na kizur kilicho karibu na miundombinu yote ,,morogoro mjini hasa maeneo ya forest,kilakala,Area 5 na maeneo mengine ya kishua kwa morogoro
KUNA KITU WENGI WATU BADO HAWAJUI,HIZ TABU MAN UTD ANAPATA SAIZ KATIKA USIJAL ATA MSIMLAUMU ED WOOD ILA IKO HV WAMILIKI WA TEAM GLAZER FAMILY NDO WANASTAHILI HIZ LAWAMA WAKAT MA BOSS WA MAN CITY WANAWEKEZA 1B USD KUIJENGA TEAM WAO WAMETOA 1B USD KATKA MFUKO WA MAN UTD KWENDA KWENYE MATUMIZ YAO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.