Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nimebadili geabox na kuweka ya manual kwenye hiace,nimeweka vifaa nyote original yaan used japan gharama yake ni 2200000 pamoja na fundi dahh.
Huo ulkuwa ni mrejesho kuhusu ushauri nilikuwa naomba hapa.
Aaamen pole na hongera sana
 
FB_IMG_1636673379233.jpg
 
Pole kwa gharama, but hongera kwa kiweka reliable transmission with minimal repair costs... Na ni transmission inayotengenezeka, pia ni fuel efficient.. so hutojutia investment yako unless uwe na dereva reckless.
Nashukuru sana brother kwa kunitia moyo,baada ya kubadil gear box taa ya check engine inawaka,mafundi wansema hamna shida kwa sabab gar n vvti inatumia umeme sana ndo maana imeshindwa kutambua gear box ya manua but gari inafanya kazi vizuri saa hiv!
 
Lazima iwake maana the way gari ilivokua designed ilikua ni auto.. so control box (ECU) is not getting any inputs from transmission module to alter engine output parameters...

Ie Ecu haipata taarifa ya gearbox ipo katika gear namba ngapi, je gear shifter ipo katika position gani;; je parking? Reverse? Drive? Neutral? So kwakua hizi inputs zote hazipo so calibration za injini zinakua out of range matokeo yake inawasha check injini..

NB: taa ya check engine haiwaki kwa hizo sababu walizokupa mafundi wako bali ni kwasababu nilizo kuambia.. (kumbuka gari ilikua ni automatic na control box unayotumia ni ile iliyokuja na hiyo injini so gari ilikua programed kufanya kazi kama automatic and not manual) na automatic car inatumia sensor mbalimbali kuifanya control box ichague appropriate gear ratio..mfano kuna throttle position sensor, engine rpm, speed mfano gari automatic ikifika speed zaidi ya 15km/h lazima control box i-command gear box iende gear ya pili.ili kupunguza rpm ya injini.sasa kwakua imechange to manual, ECU inakosa feedback kila inapo ona speed ni kubwa na ina command gear shifting but no feedback from solenoid responsible for shifting to second gear,so ECU ikiona hizi variations in operation,check injini ina illuminate (waka) but haitakua na shida sana, endelea piga kazi mkuu.
 
Nashukuru sana kiongozi,nimepata mwanga mkubwa sana kwa maelezo yako hapa,bila shaka wewe ni expert wa magari kwa haya maelezo.Nakushukuru tena kwa mda wako
 
Nawasalimu Wanajukwaa

Nauza mfumo wa kutumia gesi asilia kwenye gari. Mfumo umekamilika kila kitu... kuanzia mtungi na viunganishi vyake vyote.

Mfumo nilikuwa nautumia kwenye IST kwa biashara ya uber... ila sasa nimepata issue ingine... gari nimeuza.. nimebakia na mfumo wa gesi.

Kama mnavyofahamu, mfumo huu wa gesi asilia ni gharama nafuuu sana ukilinganisha na matumizi ya petrol.

Bei ya kufungiwa mfumo huu kwa gari ya silinda nne... ni kiasi cha tsh 1.8 milioni. Mie nauza kwa bei ya punguzo sana yaan Tzs 1.5 milioni tu.

Mzigo upo kigamboni Dar es salaam.

Karibu inbox tuyajenge zaidi.

Asante sana.
 
Msaada tutani Wakuu, Nahitaji Betri Nzuri Ya Gari, Alphard Eng cc 2300. Betri Gani Nzuri na Yenye Bei Affordable
 
Back
Top Bottom