Recent content by Cyk

  1. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

    Hivi kuwa na kumbi za starehe, guest houses ni dhambi? Hizi imani hizi....
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Jinsi mnavyoongelea haki za watumishi! Mnazidi kuwaongezea machungu watumishi na kupunguza kura kwa mgombea wenu. Kukaa kimya kwa sasa ni bora kuliko kupotosha. Ukizingatia zaidi ya 75% ya watumishi wa serikali ni vijana, wazazi na wanategemewa na wengi. Chama chetu kwa hili la watumishi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

    Hajahemuka.....yupo sahihi kabisa Deo Sanga ni Makambako na Njombe mjini ni Deo Mwanyika. Mtu mmoja simple na humble sana. Hayo mengine anajua vizuri yeye binafsi na Mungu. ...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Angalia: Zitto na dadaye, Lissu na dadaye, Ndesa na mwanawe, Dr Slaa na mkewe, Ndesa na mkwewe. Je, Viti Maalumu CHADEMA huzingatia mahusiano?

    Uongozi wa kisiasa unatokana/anapata mtu kwa kufanya siasa. Anayethubutu na kushawishi kisiasa atapata uongozi kwa vigezo vilivyowekwa kisiasa. Atakayejitokeza kugombea, akadhinda atapata uongozi. Bila kujali watatokea ndugu wangapi ktk uongozi, kikubwa wapitie michakato ya kisiasa. Teuzi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tumpe heshima zake Freeman Mbowe akiwa bado anaishi

    Kikubwa kuheshimiana ili tuendelee kufanya yetu kwa staha. Hii ndiyo siasa ya nchi yetu, japo kama tuna imani ndogo kwa wanasiasa lakini tumewapa dhamana inayoweza kuathiri kufanya yetu kwa njia nyingi. Wanasiasa ni mimi, wewe na yeye ambao kila mmoja wetu ana nafasi yake ktk uwanja wa siasa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tumpe heshima zake Freeman Mbowe akiwa bado anaishi

    Mimi si shabiki wala mwanachama wa chama chochote bali ni shabiki wa kazi nzuri za Rais Magufuli na nafurahia anapokosolewa kwa staha. Mimi Kama kijana na mwananchi wa kawaida kabisa ninaona Freeman Mbowe anastahili heshima sana kutoka kwa vijana wa taifa hili kama ambavyo wazee wetu wengi wa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Maestro Erasto Nyoni: Miguu ya dhahabu isiyoisha utamu

    Nyoni:- rolling stone => AFC => VITAL OR => Sofapaka => Azam =>Simba (currently)
  8. C

    JamiiForums Tanzania TFF yaendeleza uozo

    Nani aliyefanya vizuri zaidi ya Mirambo ili apewe hiyo nafasi? Mirambo anastahili
  9. C

    JamiiForums Tanzania Dakika ya 90, Mechi 0-0 Mmepata Faulo, Nani atapiga?

    Aggrey Morris
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kikao cha Rais wamepitiwa kutotambua mchango nzuri wa mwandishi wa habari wa TBC, Tatu Abdallah

    Mzee pwagu anafahamika na kutambuliwa kwa kazi yake tangu zamani. Kilichokuwa kikwazo kwa viongozi na taasisi mbalimbali za serikali ni sheria zetu zinazosimamia Tanesco. Nakumbuka kwa siye tuliopita shule za Iringa/njombe sehemu mojawapo muhimu ya kwenda ziara ilikuwa ni kwenda kwa mzee pwagu...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC tutaje wachezaji tunaoona hawatufai msimu ujao

    Kama kanuni za tff zingeruhusu kusajiri wachezaji wote bila kujali mipaka ya nchi, mchezaji mmoja tu wa tz angebaki simba. Lakini kwa kanuni za sasa kuwapata wachezaji wa hadhi ya kucheza simba ni ngumu sana, 100% ya wachezaji wa simba wanakaa benchi ama jukwaani ni first eleven wa timu kama...
  12. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za Matukio Tafuteni Agenda

    Siasa inafanyika popote penye zaidi ya mtu mmoja. Maisha ni siasa, matukio hutokea maishani na ili yashughulikiwe ipasavyo lazima siasa iwepo. Hapo ulipo unafanya siasa japo hupo kwenye jukwaa mahususi la siasa.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Zimbwe jr hapaswi kuichezea taifa stars kwasasa.

    Kuna referees Wengine zaidi ya Hawa wanaochezesha vilabu vyetu Africa... . Sent using Jamii Forums mobile app
  14. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania

    Hata hivyo vibada na madanguro yamejengwa vizuri kuliko baadhi makazi ya mkoa unakotoka/uliko. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Tanzania lijifunze kusimamia ukweli, demokrasia na haki kama lilivyo Kanisa Katoliki Congo

    Kanisa linaendelea kutoa elimu na kuongeza taasiasi za elimu ili wewe na kazazi chako mkombolewe na kuweza kufanya mabadiliko yenu wenyewe! Hakuna haja ya kuyalaumu baadhi ya madhehebu ya dini katika hili kwani nchi yetu ina mfumo tofauti sana ktk mambo ya kiimani ukilinganisha na nchi zingine...
Back
Top Bottom