Recent content by cvb-1

  1. C

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais Samia watenguliwe

    Blandina yuko vizuri. Ana iweza hiyo kazi. https://www.linkedin.com/in/blandina-kilama-9b36611
  2. C

    JamiiForums Tanzania Barabara inayopandisha Mbezi Juu (kushoto juu, pale kituo cha Tangi Bovu) ipigwe lami mpaka inapokutana na Barabara ya Goba

    Naona sasa imeboreshwa. I hope wata iboresha zaidi. Waiboreshe zaidi tu, lakini wasi ipanue.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Job Opportunities at the Agriculture Markets Development Trust (AMDT)

    Hizi job descriptions zime andikwa vizuri. Nadhani wadau wao wamejifunza from experience. Zamani ilikuwa kama vile kwa mbaaaali wana wakwepa economists na kuwa prefer MBAs. Hii ilikuwa a little bit weird as they also had a policy oriented mandate. Kama watapata the right candidates...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Barabara inayopandisha Mbezi Juu (kushoto juu, pale kituo cha Tangi Bovu) ipigwe lami mpaka inapokutana na Barabara ya Goba

    Afadhali sana, naona pale mwanzoni wameipiga grader vizuri (kipande kirefu), na wamejenga mfereji pembeni (kwa kutumia tofali na cement). Inabidi waendelee mbele zaidi wapande kile kilima, na mbele zaidi. Halafu waipige lami. Hakuna shida kama yatakuwepo maeneo ambayo barabara inaweza ikawa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nashauri nchi za Afrika Mashariki zijiunge na SADC, na kuwe na sarafu mmoja ya SADC. Sarafu hii ishirikiane na sarafu za kitaifa

    Unaweza uka ignore sehemu ambayo unadhani inavutia upande wangu, na ukakubali sehemu nyingine.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nashauri nchi za Afrika Mashariki zijiunge na SADC, na kuwe na sarafu mmoja ya SADC. Sarafu hii ishirikiane na sarafu za kitaifa

    Nashauri EAC countries zijiunge na SADC. 1) Kuwe na sarafu mmoja ya SADC. Sarafu hii ishirikiane na sarafu za kitaifa. Sarafu za kitaifa zisifutwe. 2) Makao makuu ya Benki Kuu ya SADC yawe Moshi au Arusha au Mwanza.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Barabara inayopandisha Mbezi Juu (kushoto juu, pale kituo cha Tangi Bovu) ipigwe lami mpaka inapokutana na Barabara ya Goba

    Hivi, hii barabara imeshawekwa kwenye ramani za mipango miji?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 utakuwa mgumu sana kimaisha. Tuchukue tahadhari

    ...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Barabara inayopandisha Mbezi Juu (kushoto juu, pale kituo cha Tangi Bovu) ipigwe lami mpaka inapokutana na Barabara ya Goba

    Je, TANROADS au TARURA au TAMISEMI au Wizara ya Ujenzi au Serikali ya mkoa au Halmashauri ya Jiji au serikali za mitaa au Development Partners (wafadhili kama World Bank, JICA, DFID, EU delegation etc.) wanaweza kuijenga hii bara bara?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Barabara inayopandisha Mbezi Juu (kushoto juu, pale kituo cha Tangi Bovu) ipigwe lami mpaka inapokutana na Barabara ya Goba

    Barabara inayopandisha Mbezi Juu (inayopandisha kushoto juu, pale kituo cha tangi bovu) ipigwe lami mpaka inapokutana na Goba Road. Hii itasaidia usafiri, itapunguza foleni, na itachochea kukua kwa uchumi kwenye eneo hilo zuri la kilimani lenye hewa nzuri. Vilevile barabara hii itapitika vizuri...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu: Village Supermarket tawi la Sea Cliff nayo yafungwa

    Kwa Dar imebaki branch yao ya IST. Ni siku chache baada ya kufungwa tawi la Mbezi Beach. Soma pia: https://www.jamiiforums.com/threads/kushuka-kwa-purchasing-power-je-kundi-la-high-income-group-wanaathirika-village-supermarket-ya-high-class-wa-mbezi-beach-shamo-tower-yafungwa.1618987/
Back
Top Bottom