Nashauri nchi za Afrika Mashariki zijiunge na SADC, na kuwe na sarafu mmoja ya SADC. Sarafu hii ishirikiane na sarafu za kitaifa

cvb-1

Member
Dec 14, 2018
43
45
Nashauri EAC countries zijiunge na SADC.

1) Kuwe na sarafu mmoja ya SADC. Sarafu hii ishirikiane na sarafu za kitaifa.
Sarafu za kitaifa zisifutwe.

2) Makao makuu ya Benki Kuu ya SADC yawe Moshi au Arusha au Mwanza.
 
Hivi unajua viongozi wako wa waafrika wakazidiwa wataprint vipi pesa bila utani wataanguka,ni kama ilivyokuja euro Greece walianguka chali
 
Back
Top Bottom