Recent content by Cutie M

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu ofisini ni kahaba, ajira yake ni geresha tu

    Sasa wewe yanakuhusu nini?ulienda kufanya kazi au umbea?
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke anaejitambua tuzae

    Incubators
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume anayeishi na virusi vya UKIMWI

    nitumie tafadhali
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume anayeishi na virusi vya UKIMWI

    mtanganyika wa kweli kama wewe hauna hizo sifa basi pita tu usianze kutoa kashfa,wewe kama una afya bora na ukae na afya bora milele,usije ukapata hata upele wala chunusi,God is watching u
  5. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Asanteni wote kwa ushauri,Mungu awabariki
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwema?

    hahahaaa bado cjapata
  7. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Samahani naomba kujulishwa kuhusu mtaji wa kufungua salon ya kike au barbeshop ya kiume na zote ziwe na sehemu ya kufanyia massage ntahtaji mtaji wa kama sh ngapi?tafadhali wazoefu wa hii biashara mnisaidie mawazo
  8. C

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya umri na kudumaa kwa akili

    Huwa nasikia mtu umri ukienda akili zinarudi kama mtoto, eti kuna uhusiano gani kati ya kuwa na umri mkubwa na akili kudumaa au kurudi nyuma?
  9. C

    JamiiForums Tanzania housegirl

    jamani natafuta dada wa kazi mwenye access nae anisaidie,asiwe mdogo sana awe na umri at least kuanzia miaka 18 na kuendelea
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwema?

    nimepita kuwasabahi jamani kwema humu ndani?
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa Kabana Mademu Wamekuja Ndio Anakunjua

    Hahahahaaaaaaaaa duuuuuuuh umemkamata red handed
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mke mwenye maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi

    Nimeshafika mkuu,asante sana
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume anayeishi na virusi vya UKIMWI

    Kwani wewe dini gani kaka wonderful?
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume anayeishi na virusi vya UKIMWI

    Habari wana jukwaa, Mimi ni binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 na mwaka 2010 wakati niko kwenye maandalizi ya ndoa na aliyekuwa mchumba wangu tuliambiwa tukapime, na ndipo nilikutwa nikiwa na maambukizi wakati mchumba wangu alikuwa mzima, tulipanga kuachana kwa siri bila kutoa sababu...
Back
Top Bottom