Recent content by Cute Wife

  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Soko la Machinga Complex Dodoma linawaka moto muda huu!

    Moto umeibuka katika baadhi ya vibanda vya Soko la Machinga jijini Dodoma muda huu. Zimamoto wamefika na wanaendela na zoezi la kuudhibiti moto huo.
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    Haiendi! Hata msg sijapokea wala nilipotuma hajapokea, pesa iko vile vile!
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    😅😅 asante kwa marekebisho Mkuu
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    Hawachangamkii fursa siyo?🤣🤣🤣
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    Umetisher sana Mkuu
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    Nimetumia kote Mkuu, si app wala kawaida! Majina yalikuwa hayatokei, sasa majina yanatokea lkn muamala haukamiliki, na hupati ujumbe - wewe na unayemtumia! Hii itasababisha wengi kufanya double transactions leo!
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    Eeeh,poleni!
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    Bado aisee
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    Sijala bado Mkuu, sa nifanyaje na hela ndo haitoki?🤣🤣🤣
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    Ngoja nijaribu tena, asante kwa update
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Huduma ya MPesa ina shida gani? Nakaribia kuaibika huku Wakuu!

    Wakuu, Ukisikia kuahibika ndo leo. Niko kwa mgahawa hapa, nishaagiza chakula nataka kulipia kwa MPesa mtandao haushiki! Na huko iko hivyo au ni kwangu tu? Ukisikia kwenda kuosha vyombo ndo leo, au nichomoke kimya kimya nisirudi?😩😩
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Imagine Waziri wa Mambo ya Ndani anaitisha Press kujadili kalio la Pipy Tida, na vichambo vya Anko T!

    Ndo kwanza wanazidi kufanya upuuzi kila iitwapo leo!
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Imagine Waziri wa Mambo ya Ndani anaitisha Press kujadili kalio la Pipy Tida, na vichambo vya Anko T!

    Kuchunguza kama Anko T anaweza kutoa pasi 😂😂😂 Mkuu walau umenipa tabasamu
Back
Top Bottom