Recent content by Cunch

  1. Cunch

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili ndo jukumu kubwa la Mwanaume Kiasili. Mengine ni kuzidishiwa tu na kupewa Mzigo. Tujitambue

    Hata kama una watoto wengi, Huwa kuna sifa flani hivi pale unaposkia watu wakikusema kuwa unajua kuhudumia watoto wako.
  2. Cunch

    JamiiForums Tanzania SENSA 2022: Katika mafunzo kuna rushwa inaendelea, hasa wilaya ya Chemba

    NBS hawakuweka kipengele cha viongozi watapita kutokana na vyeo vyao. Hawa walichofanya ni kudhulumu haki ya wahusika.
  3. Cunch

    JamiiForums Tanzania SENSA 2022: Katika mafunzo kuna rushwa inaendelea, hasa wilaya ya Chemba

    Habari wadau, Huku mafunzo ya sensa yakiendelea katika wilaya ya Chemba kuna mchezo mchafu unafanyika hasa kwa wakufunzi walio katika kada ya elimu(Maafisa elimu kata) kwani walichokifanya ni kuwapa walimu wakuu USIMAMIZI WA MAUDHUI ikiwa hawakuomba kazi hiyo mtandaoni. Mfano mzuri ni kituo cha...
  4. Cunch

    JamiiForums Tanzania Watumishi kutemwa kwenye ajira za Sensa 2022 ni jambo la afya sana

    Huku kwetu watumishi wamepata kwa 100% Na pia idadi iliyoomba ajira wamepita wote.
  5. Cunch

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Mimi wameni kata miezi mitano lakini wamenilipa hela ya miezi minne tu. Sjui niwafuate huko huko maana inakuwa kero.
  6. Cunch

    JamiiForums Tanzania CRDB kuna shida gani? Mnachelewesha sana kutoa mikopo

    Riba ni 13%
  7. Cunch

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania wamefikia hatua hii ya unyonyaji?

    Habari hii nimetumiwa na afisa elimu kata. Sasa kama na yeye kaamua kuandika basi nitakubaliana na wewe. Ova!!
  8. Cunch

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania wamefikia hatua hii ya unyonyaji?

    AGIZO wawakilishi wote wa cwt na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu kuhakikisha hao mashetani chakuhawata hawafiki kwa walimu. Walimu wakuu na maafisa kata...
  9. Cunch

    JamiiForums Tanzania Msaada Tiba ya maumbile madogo

    Pole sana mkuu ila Hakuna linaloshindikana humu. Ngoja waje wajuvi wa mambo.
  10. Cunch

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    07
  11. Cunch

    JamiiForums Tanzania Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    Usilazmishe kabila kwa kutumia jina mkuu.. Cha msingi ni kueleweshana cos humu kuna watu wa karibu na hii familia..
  12. Cunch

    JamiiForums Tanzania Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    Ni vjana wa3 ndo walshrikiana kumpiga panga kichwani na shingoni.wamekiri na wapo lupango. Mazishi kesho so tulio karibu tutawakilisha wananzengo.
  13. Cunch

    JamiiForums Tanzania Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    Huyu dem ni twin sister wapo wawili kwa mama yao. Alikuwa anamiliki subaru kali enzi hzo rau nzima saluti.
  14. Cunch

    JamiiForums Tanzania Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    Wapo na tayr wananyea ndoo mda huu
  15. Cunch

    JamiiForums Tanzania Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    Mama shombe wa kizungu haswaaa..
Back
Top Bottom