Chama cha Walimu Tanzania wamefikia hatua hii ya unyonyaji?

Cunch

Senior Member
Apr 19, 2014
162
142
AGIZO

wawakilishi wote wa cwt na viongozi wote mlio chini yangu hakikisheni kuwa mnapambana usiku na mchana kuhakikisha walimu hawahami chama, hali imekua mbaya sana, mnatakiwa kutumia kila mbinu kuhakikisha hao mashetani chakuhawata hawafiki kwa walimu.

Walimu wakuu na maafisa kata tumeshawaweka sawa na maafisa utumishi nyie mnashindwaje? Mwakilishi yeyote ambaye shuleni kwake mwalimu atajitoa cwt tutahakikisha uchaguzi ujao hatachaguliwa tena, Mimi ni katibu uwezo wa kumwondoa hata sasa ninao.

Nyie waambieni walimu wakihama watakatwa mara mbili . Tambueni posho zenu, mishahara ya makatibu inatoka kwenye makato sasa wakihama itakuwaje? Walimu wanaelewa , mmeona tulivyowatishia wa kasekese na sibwesa mambo yapo sawa? Wewe unashindwaje?

Narudia tumieni kila mbinu. Pale mtakaposhindwa tuwasiliane haraka, mengine nitaongea kwenye kikao.

Mwl.
Mafuru.
Katibu cwt Tanganyika.
Katavi.
 
Mwandiko huu si anaweza akauandika yeyote?
 
CWT ni wezi hawana msaada wote kwa waalimu zaidi ya kuwapa Tshit ya njano may mosi....ni majizi chini ya Chama tawala
 
Mwaka huu, cwt walikula wakavimbewa maana hata zile t-shirts na kofia hazikuwepo tena!
 
Back
Top Bottom