Mbona hujajibu message bosi nimekutumia. Weka na namba ya simu.. coz ushaamua kusaidia watanzania wnye uhitaji so malizia kutupatia namba ya simu ili tukucheki vzr
Yatakushinda...huo mkopo ataulipa mtoto mwenyewe we kihehere cha nini, maisha ni mzunguko unaweza leo kuwa tajiri kesho kutwa ukafulia vile vile so usikariri... kma anavigezo apewe mkopo acha roho mbaya mkuuu.
huyo wa sayani atakuwa kakudanganya alichofaulu na tunaposema kipaumbele haina maana...
Jamaa huna jipya, kamsaidie prof asifukuzwe .... hata wewe hujielewi, kwa mfano enzi hizo ukienda kusoma shule za private we hii leo tofauti. Usiniudhi bure ila kosa lako ni cheti chako cha buguruni ... utaisoma namba bora uache ofisi mwenyewe
Mkuuu wakupeleke club D, tripple A, sakina ndo, ngurudoto, matongee karibu na fire. Na mchana ukale buffee au maeneo ya clock tower . Jioni upite maeneo ya town masjid cuba hadi maeneo ya mrina ule kuku mboga mboga . Ukiweza hata robo urudi na uzi wako.
Mkuu nilichozingatia kwanza uwepo uwe wa kila siku sio leo upo mara kesho hakuna kama wanavyotufanyia. Kwani ukikosekana inabidi utumie zaidi ya buku kufika pugu kutoka kkoo na bado unasota kwenye foleni. Ni heri iwe buku waboreshe huduma ikiwemo na upatikanaji wa huduma, acha kupenda rahisi...
Cha ajabu kipi? Anaongoza polisi... kuvaa yupo sahihi. Mie nafurahi kuona kiongozi wangu anapenda sare zangu za kazi.
kutovaa ni usaliti na nitaona ni wakuja wala hata nipa ari ya kazi. Ningekuwa na uwezo hadi mkeo ungempatia za wp. Hongera sana mkuu wangu waziri wangu.
wabongo huwa ni umbea...
Mkuu unaelewa kweli hii ishu au unadandia treni kwa mbele...
anza kujiuliza kuhusu mikataba ndo mh.rais alipotia neno na mh.tundu lisu.
punguza kukurupuka jf tunasoma wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.