Kwahiyo we kinachokukera kwa RC ni maria na ngoma za jadi?una uhakika wanamuimbaga maria tu au una mambo yako binafsi?imani ya mtu ndio itakayomuokoa kuponda mambo wanayofanya wengine sio tabia nzuri na ikumbukwe ujumbe unaopata wewe sio nitaopata mimi kila mtu ana uwelewa wake....sio lazima...
Umenena vyema mkuuu pia ijulikane kwamba unapoamua kuimba nyimbo za injili basi wewe ni mfano wa kuigwa kwa waamini..asa mavazi yao yanatufundisha nini ni kweli kwamba mbinguni wataenda wenye moyo safi na sisi hatujui mioyo yao ila kwa nje tunaona na siku zote mtu atakuhumu kwa muonekano wako...
Hakuna uhusiano kati ya siasa na elimu mjibu kwanza hili swali are leaders born or made? Ole sendeka ni kiongozi tu wakati muhongo ni msomi mkubwa ambaye kwa maoni yangu siasa sii mahali pake
Umemdharau wewe na akili zako fupi kasome geology pale UDSM ndio utamjua Muhongo ni nani na ana uwezo gani na nani pia duniani MUHONGO anajulikana duniani apa we ata mtaani kwenu hawakujui wote
Hivi we unaujua uwezo wa muhongo au unaropoka uprofesa wa kupewa apewe muhongo nna wasi wasi na upeo wako wa kufikiri....hoja ungesema kwamba ana uwezo mkubwa wa akili na elimu ila hana uwezo wa kujibu hoja
Jaman sakabenga pius sio mlevi alitoka darasani akasema anajisikia vibaya akaenda kuoga akarudi kulala hajaamka tena mpaka mauti yalipomkumba mimi namfahamu vizuri na mama yake ni rafiki yangu
Kajala alishawahi kusema alimsukuma wema kwasababu yeye kajala alikua na jasho akaona atamchafua ila sio kwamba alimsukuma makusudi kwa bifu tena hao hao global walimuhoji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.