Mafuta gani ni mazuri ya kuifanya ngozi iwe kavu?

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Wadau,

Poleni na pilikapilika za kila siku. Samahani, naomba msaada kutoka kwa wataalam wa ngozi. Kwa kawaida, ngozi yangu muda wote imekuwa ikionekana kuwa na mafuta mengi sana hasa usoni especially kwenye kipaji cha uso.

Nimejaribu kutumia mafuta ambayo huambiwa kuwa yanakausha ngozi lakini bila mafanikio. Tafadhali naomba kwa wenye utaalam au uzoefu wa mafuta yoyote yanayowezesha ngozi kuwa kavu wanisaidie.

Asanteni.
 
Nitafute nikusaidie 0758 513593
 
Back
Top Bottom