Recent content by Crook

  1. Crook

    JamiiForums Tanzania Nahitaji karatasi (rim paper) wapi naweza kununua kwa bei nzuri?

    +255758623030 Mcheki huyu
  2. Crook

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Karibu, unataka boots za aina gani na quantity gani?
  3. Crook

    JamiiForums Tanzania SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

    habari mkuu, Naomba namba ya hawa jamaa wa SPEEDAF maana naona kuna kiparcel changu washakaa nacho wiki sasa simu hawapigi wala nini
  4. Crook

    JamiiForums Tanzania Gari linanitesa

    Unaitoa kw ngapi?
  5. Crook

    JamiiForums Tanzania Gari linanitesa

    Mkuu, nina Milioni 4.5 niuzie gari hiyo Tuma picha zake PM tumalize biashara
  6. Crook

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Match ya leo Over 2.5 inatoa
  7. Crook

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo tunaishi humu
  8. Crook

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba bet slip code ya Sportpesa mkuu
  9. Crook

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Ndugu zetu Wangoni, si ndugu zao pia... #TheNguniPeopleFromSouthAfrica
  10. Crook

    JamiiForums Tanzania Frame inahitajika - Kurasini

    Habari zenu wakuu, Binafsi najihusisha na kutoa ushauri wa kibiashara pamoja na huduma zingine za kiuhasibu na kodi jijini Dar es Salaam pamoja na huduma zinginezo. Katika kutekeleza mpangokazi wangu wa mwaka 2020/2021 nina mpango wa kufungua ofisi maeneo ya kurasini (Along Nelson Mandela au...
  11. Crook

    JamiiForums Tanzania Wanauchumi nipeni ufafanuzi wa makato haya ya kodi

    VAT (18%) sio income wala expense kwako, Ni PM kwa ufafanuzi na msaada zaidi juu ya maswala ya kiuhasibu na kodi
  12. Crook

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

    Naamini katika requirements walizokwambia upeleke ni Mkataba wa Pango/eneo la biashara Katika mkataba huo sasa wataweka 10% ya kodi ambayo imelipwa; Hii 10% (24,000) ni Withholding tax on rent na hiyo (2400) stamp duty ambayo inatofautiana sasa; Stamp duty itatumika kama mbadala wa risiti ya...
  13. Crook

  14. Crook

    JamiiForums Tanzania Kuajiri mhasibu asiye na CPA

    "Mhasibu" asiyekuwa na CPA. Yukoje huyu? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Crook

    JamiiForums Tanzania Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

    Huyu Pacheco anarusha vitu hatari
Back
Top Bottom