Gari linanitesa

Gari linanitesa

Wanashindwa tu kukuchana kiukweli wengi tunapenda kumiliki vitu kwa show off baada ya hapo Hamna kitu ukijiuliza umenunua gari na nn mkopo wa mshahara mafuta yanatoka wapi mshahara matengenezo yanatoka wapi mshahara makato ya mkopo wap mshahara ukija kuangalia una miliki gari halafu una maisha magumu kama sio ya mkopo

Ufanye Nini:uza gari tafuta sehemu uwekeze hiyo hela uliouza gari kama ni duka au mradi wowote ambao utakuingizia kipato kila siku tena anza na mrad wa faida ndogo tu 10000 kwa siku au 5000 kwa siku utajikuta faida unayopata ndio unafanya vitu vingne .
IST ikimshinda MTU mkuu ni maajabu.

Maana hata muuza mkaa akiuza akipata faida anaweza kumiliki gari economy ka.a IST.

Kikubwa jamaa ahakikishe anafanya full service akitenga pesa ya kutosha kama mil2 ya service them,

Ahakikishe ana biashara ya walau sh 2000 faida Kwa siku. Hii itamsaidia mafuta.

Lkn pia aaache kulia Lia Kwa IST ni gari ya kawaida sana
 
  • Thanks
Reactions: 713
Sina gari lkn natumia 50k Kwa siku.

Je Nina hadhi ya kumiliki hii chombo kama gari
 
Kununua gari la mkononi kutoka kwa mbongo ni pata potea na ukikosea utakuwa na furaha kwa siku mbili tu toka ulimiliki, yaani siku uliyolinunulia na siku utakayoliuza.😁.
 
Ulivyolinunua hukulifanyia ukaguzi
Kwanza, angalia phone book yako
Isijae namba za mafundi magari

Ova
 
Ulivyolinunua hukulifanyia ukaguzi
Kwanza, angalia phone book yako
Isijae namba za mafundi magari

Ova
Tafuta fundi mmoja makini. Namba za mafundi wengine usifute hujui nani atakuokoa wakati gani
 
Uliuziwa chuma chakavu kwa million 6 na sio Gari IST.
 
Habarini humu wanajf,kuna kipindi niliwahi kuomaba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge.Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D,toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kwanzia laki hivi,mara break,mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu,hapo bado mafuta kama 200k per month.Hivi nyie mnawezaje? hasa vijana kumaintain hivyo.Nawasilisha
Namba D ist kwa milioni 6!? Hiyo gari lzm ilikuwa na issue au ilikuwa imechoka sana. Milioni 6 ni bei za namba C au B.

Baada ya kuinunua ulitakiwa uende kwa fundi yeyote yule mzuri sana na approx. Ungetumia kati ya 1.5m mpk 2m na hapo ni kama mashine na gear box ziko poa la sivyo ingeongezeka.

Hapo ungefix kila kitu kwenye miguu na pengine popote (nje ya mashine na gear box) na baada ya hapo ungeweza kuitumia hata miaka bila shida yeyote zaidi ya service ya kawaida tu.

I bet Wewe hukufanya hivyo (large scale repairs) ulivyonunua ukafanya service ya kawaida ukaweka chuma barabarani bila kujali kwamba vitu vingi ni vya kubadilisha. Na gari zilivyo ubovu wa kitu kimoja unasababisha ubovu wa vitu vingine. Bila kuhakikisha kila kitu kiko sawa kwenye gari basi safari za gereji haziwezi kuisha.

Kwa gari ndogo tena gari ngumu kama ist hutakiwi kwenda gereji kbl ya muda wa service kufika au lbd km umepata ajali. Cha kukushauri iuze hiyo gari ongezea pesa nunua gari mpya. Au less good option tafuta fundi konki ulizia kwa watu. Sio mafundi wa instagram nazungumzia mafundi wanaozijua gari hasa wako chimbo huko. mpelekee hiyo gari kila kitakachokuwa kimeisha au kuharibika badilisha na weka genuine usiwe mbahili maana lzm hela ikutoke baada ya hapo unaweza kutulia kwa amani.
 
Ulivyolinunua hukulifanyia ukaguzi
Kwanza, angalia phone book yako
Isijae namba za mafundi magari

Ova

Hapo namba unasave hivi, fundi tabata, fundi oil, fundi wiper, fundi ilala, fundi engine, fundi brake, fundi ubungo, fundi tegeta yaani aliekuokoa unasave hivo hivo
 
Habarini humu wanajf,kuna kipindi niliwahi kuomaba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge.Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D,toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kwanzia laki hivi,mara break,mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu,hapo bado mafuta kama 200k per month.Hivi nyie mnawezaje? hasa vijana kumaintain hivyo.Nawasilisha
Kumiliki gari siyo mchezo aisee! Hela lazima ikutoke. Tena kiutani utani tu.
 
Kivipi mkuu, safari za kutoka Sinza to Posta everday kwa mwezi

Mimi nina gari, ila sababu sio lazima niendeshe, napanda mwendokasi na sipungukiwi kitu, natumia weekend tu na zarura
 
Habarini humu wanajf, kuna kipindi niliwahi kuomba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge. Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D, toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kuanzia laki hivi, mara break, mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu, hapo bado mafuta kama 200k per month. Hivi nyie mnawezaje? Hasa vijana kumaintain hivyo.

Nawasilisha
Mzunguko wako hauzidi km 20 kwa siku,.... baiskeli inakufaa zaodi
 
Mimi nina gari, ila sababu sio lazima niendeshe, napanda mwendokasi na sipungukiwi kitu, natumia weekend tu na zarura

Mtaani kwetu ndo wataanza kusema nimeishiwa
 
Mimi nina gari, ila sababu sio lazima niendeshe, napanda mwendokasi na sipungukiwi kitu, natumia weekend tu na zarura
🤣🤣 Kwakweli hapo ni mateso. Ndiyo maana watu wanamiliki gari za cc990
 
Back
Top Bottom