Picha ya YESU n8 mzungu au mwafirika haina maana yoyote katika imani ya KIKRISTO. Unahangaika na vitu ambavyo wakristo wenyewe hawana mpango navyo. BIBLIA inasema wazi kuwa aamiminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa.
Amekwisha ongea Judge Sinde Warioba, mtu na nusu. Hana waa wala tuhuma.
Alishaseman Mwl JK Nyerere kuwa "Amani ni tunda la haki" ama haki yenyewe ikiwepo, au kuna matumaini ya kuwepo uongozi unaojali HAKI"
Kwa hiyo ukiona amani(tunda) haipo ujue shina( HAKI) limenyauka. Mtu mwenye akili...
Nauliza swali jamani, Hivi ilishawahi tokea wazee wa Daresalamu au wa popote pale wakaongea na Rais? Mimi uwa nasikia Mh Rais kuongea na wazee wa DAR. Je ilishawahi tokea wazee wenyewe wakaona kuna haja kumuita Rais na kuongea naye?:
KUTOKANA na ukweli kwamba siku hizi kuna make na model tofauti tofauti, tunahitaji kushauriana ni magari yapi ya kuyakwepa kwa maana ugumu wa kuishi nayo hasa gharama za maitenance, uwezo kuhumiri hali ya barabara ,zetu n.k. Nimetokea kuipenda Mitsubishi Outlander, na mitsubish IO na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.