mleta uzi,cku nyingine ukitaka ueleweke vzr jaribu kutoa na maelezo basi,kuwa hapo walikuwa wapi? kwa sababu gani? nk..kuweka picha tu haitoshi,JF ina watu wa aina tofauti tofauti,si kila mtu ataielewa picha hii katika mtazamo ulio nao wewe,vinginevyo ufahamu wako ni mdogo sana kama unadhani...