Recent content by Crisheb956

  1. C

    Mwanamke akifanya haya jua tayari amekuzimikia

    Katika pita za hapa na pale nimeona wanaume wengi wakipoteza fursa kutokana na kushindwa kusoma lugha za mwili za wanawake. Forget about kung’ata nyasi. Leo ntawashushi baadhi baadhi ya lugha za wanawake ambazo wanaume wengi wanapuuzia au wanashindwa kuzielewa. 1. Tabasam Ukimwongelesha...
  2. C

    Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

    Kiukweli kabisa.......tangu nimeanza kunywa maji sijawahi kunywa maji matam kama mwanza Pure drinking water......niliyanywa nilipo fika mwanza juzi kati......... haya maji ni mazuri sana ........sifaham ni yako chini kampuni gani....ila nilitamani sana yangefika mbaka Dar. Sent using Jamii...
  3. C

    Tunatatua matatizo yote ya computer pamoja na kukutengenezea website na mobile application.

    Inategemea unahitaji ya namna gani na complexity yake Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Tunatatua matatizo yote ya computer pamoja na kukutengenezea website na mobile application.

    Tunakufata ulipo. 0674497230 (Kwa wakazi wa Arusha na Dar es Salaam) Baadhi ya matatizo ya computer tunayo yafanyia kazi. 1.Ku install windows, 2.Kuweka Antivirus, 3.Kuweka office, 4.kuweka pdf reader, 5.computer ipo slow, 6.computer inakua na blue screen, 7.kuweka Aplications kama...
  5. C

    UCHAWI: Upo au haupo?

    Ulishuhudia ?? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    UCHAWI: Upo au haupo?

    Nimekua nikisikia simulizi nyingi za vibwengu......na mambo mengi chungu nzima ila.... kila nikiuliza mtu anae simulia hiyo stori anasema alisimuliwa....je kuna ukweli wowote kuhusu dhana ya kuepo kwa uchawi ?? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. C

    Maisha ninayoishi ni ya ajabu kweli, ushauri wako unahitajika

    Daaah! Kweli tupo tofauti....mimi kipindi nakatazwa kutoka ndo hulka ilikua shingoni......sasa nipo free hata kutoka nje naona shida [emoji20][emoji20] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    Wale wacheza kamari CASSINO tukutane hapa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    Starehe ya wasiokunywa pombe ni ipi?

    Zamani nilikua naona wanywa pombe wajinga sana...ila baada ya mbili tatu....imenisaidia kuamisha confidence yangu ya upombeni kwenda kwenye reality In short ukitaka kujua wewe ni confident kiasi gani kunywa mzinga.....utaniambia. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    Starehe ya wasiokunywa pombe ni ipi?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    Naombeni Ushauri

    Asante Mkuu nimerekebisha Sent using Jamii Forums mobile app
  12. C

    MSAADA: Scholarship SWEDEN.

    Kwa anaefahamu taratibu ambazo zitaniwezesha nipate scholarship Sweden (masters). Naombeni msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. C

    Naombeni Ushauri

    Mimi ni graduate wa BIT(Bachelor in Information Technology). Nahitaji kujiendeleza ili niwe valuable sasa au hata apo badae. Na acknowledge uwepo wa professionals humu ndani na pia wenye experience na kazi za hapa na nje ya nchi ni wapi ambapo nikijiendeleza nitakua valuable asset ndani au...
  14. C

    Msaada kuhusu nywele pamoja na ngozi yangu.

    Asante Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. C

    Msaada kuhusu nywele pamoja na ngozi yangu.

    Asante Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom