Rais Xi Jinping ametoa salamu za rambirambi kwa Rais Magufuli wa Tanzania kutokana na kifo cha rais wa zamani wa nchi hiyo Benjamin Mpaka.
Katika salamu zake, Rais Xi amesema, Benjamin Mkapa alikuwa ni kiongozi hodari wa Tanzania na Afrika, na pia alikuwa ni rafiki mkubwa wa watu wa China...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya China Bw. Zhao Lijian amesema, serikali ya China imekubali Shirika la Afya Duniani WHO kutuma wataalamu kuja China kutafuta chanzo ya virusi vya Corona.
Bw. Zhao amesema kazi ya kutafuta chanzo ya virusi ni suala la kisayansi linalotakiwa kuchukuliwa kwa...
Rais Xi Jinping wa China leo ametoa mwito wa kuendelea kwa juhudi za kupambana na dawa za kulevya. Kwenye ujumbe aliotoa mapema kabla ya maadhimisho ya siku ya kupambana na dawa za kulevya (26 June), Rais Xi amesema msimamo mkali dhidi ya dawa za kulevya ni lazima uendelee, ili kupata maendeleo...
Mazishi ya mmarekani mwenye asili ya Afrika George Floyd yalifanyika jana Jumatano katika maskani yake mjini Houston, na kuhudhuriwa na wageni zaidi ya 500.
Akizungumza kwenye mazishi hayo, mpwa waFloyd Bibi Brooke Williams ameuliza kuwa, “baadhi ya watu wanadai kuifanya Marekani kuwa kubwa...
Mwishoni mwa Januari wakati Wachina wanajiandaa na siku kuu ya mwaka mpya wa jadi wa China, wengi wao walitarajia kuwa watasherehekea mwaka mpya kwa furaha nashamrashamra zote. Lakini kile ambacho hawakukijua ni kwamba mwaka huu utakuwa tofauti baada ya virusi hatari vya corona kuibuka katika...
Leo (Juni 7, 2020) asubuhi, ofisi ya habari ya baraza la mawaziri la China imetoa waraka kuhusu mapambano dhidi ya virusi vya Corona wenye jina “Mapambano dhidi ya COVID-19: Juhudi za China”.
Waraka huu umetolewa wakati China ikiwa imefanikiwa kukabiliana na tatizo la virusi vya Corona, ambapo...
Mkutano wa tatu wa Bunge la 13 la Umma la China hivi karibuni umepitisha Muswada wa Kujenga na Kukamilisha Mfumo wa Sheria wa Kulinda Usalama wa Taifa Katika Mkoa wenye Utawala Maalumu wa Hong Kong na Utekelezaji wa Mfumo huo. Nchi za Afrika zimeunga mkono hatua hiyo, zikisema ni hatua imara...
Serikali ya Tanzania imeunga mkono Bunge la Umma la China kupitisha uamuzi wa kutunga sheria ya usalama wa taifa kwenye mkoa wa Hongkong.
Msemaji wa serikali ya Tanzania Bw. Hassan Abbas amesema Tanzania imekuwa ikifuatilia maendeleo ya hali ya Hongkong, na kwamba serikali ya Tanzania siku zote...
Mahakama maalum ya utatuzi wa migogoro(PCA) hivi karibuni ilitoa uamuzi wa kesi kati ya China na Philippines, iliyowasilishwa na Philippines kwenye mahakama hiyo kutaka ufafanuzi kuhusu uhalali wa eneo la mpaka wake na China kwenye eneo la bahari ya China kusini.
China imepinga uamuzi...
Habari wanaJF,
China Radio International kwa kushirikiana na Jamii Media (kampuni inayoendesha JamiiForums & FikraPevu) inakuletea shindano kabambe la "Made in China" litakalokuwezesha kujinyakulia simu za kisasa aina ya Huawei pamoja na Xiaomi Arm band kwa urahisi kabisa.
Unachotakiwa kufanya...
Radio China Kimataifa CRI ilianzishwa Desemba 3 mwaka 1941, na ni radio ya taifa ya China inayotangaza kwa dunia nzima, pia ni chombo cha habari kinachotangaza kwa lugha za aina nyingi zaidi kote duniani. CRI inafuata nia ya "kujulisha hali ya China kwa dunia, kujulisha hali ya dunia kwa China...
Habari wana JF,
Sisi China Radio International, Idhaa ya Kiswahili (CRI Swahili), tungependa kupata maoni yako juu ya habari ambayo unaamini ilikuwa habari kubwa kwa mwaka 2013. Aidha, habari 10 zitakazopigiwa kura/pendekezwa ndizo tutazitangaza kuwa habari 10 kubwa zilizopendekezwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.