Recent content by CRFLC

  1. CRFLC

    Ogopa vijana wenye Ford Ranger na Prado za Dar es Salaam!

    Kwani lazima upige kwenye ugoko au mshono?? hujaona pengine pa kupiga???
  2. CRFLC

    Serikali inawachelewesha bodaboda, ni mabomu mtawanyiko yanayotembea

    Uko sahihi sana! Hongera kwa mtazamo mzuri mpana!! Japo najua ni ngumu sana kufanyiwa kazi hayo mawazo yako kwa sababu wafanya maamuzi wanawatumia hao bodaboda kwa faida zao pia.
  3. CRFLC

    Masoud Kipanya ahoji Mataifa mengine kama ya Ulaya wamefanyaje wakawa walivyo na Afrika ikawa ilivyo viongozi kujinufaisha badala ya nchi zao

    Hilo pekee ndiyo chanzo cha .matatizo yote ya Afrika. Uvivu, wizi, ubinafsi, ufisadi, nk yanaanzia kichwani [FUVU] i.e akili! [Ufahamu]
  4. CRFLC

    "Nimechoka Kusikiliza Uongo Kwenye Mazishi!" - Padri Gichure Ailipukia Familia Wakati wa Mazishi

    Kwa kawaida ibada ya mazishi inatakiwa ilenge zaidi sisi tulio hai, mahubiri yatulenge tulio hai kwa sababu huyo aliyekufa habari yake imekwisha, kitabu chake hapa duniani kimefungwa, haijalishi mtamsifia kiasi gani au kumlaumu kiasi gani haitabadili maisha yake aliyonayo huko aliko! Kwahiyo...
  5. CRFLC

    Tribute to Wicknell Chivayo: Kuzikwa Kesho Zimba Japo Sio Mtanzania, Watanzania, Afrika Mashariki, Africa Tumefiwa!, Tunakulilia, Buriani BiliBonge!

    Kuna usemi wa Wana Nigeria uko kwenye kitabu cha THE CONCUBINE kilichoandikwa na mwandishi nguli na maarufu sana Elechi Amad unasema " Death is a bad reaper reaps even unripened fruits" na usemi mwingine kwenye kitabu hichohicho unasema " if a son can wash his hands then he can dine with...
  6. CRFLC

    Unatafuta Vifaa vya Ujenzi? Karibu VN Warehouse Limited – Tunauza Jumla na Rejareja

    Weka bei bro. Bila bei ni sawa na kupanua mdomo bila kutoa sauti (ukidhani watu wanakusikia)
  7. CRFLC

    Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Kubwa sana analopaswa kuzingatia kwa sasa ni hatima ya huyo mtoto, maamuzi yake yamebeba hatima ya huyo mtoto (Izingatiwe mtoto hana kosa lolote katika hili tukio), kwa sababu mtoto anaye anahisia, hatujui atalipokeaje atakapo ambiwa. Nina mshauri aendelee kumlea huyo mtoto kama kawaida, na...
  8. CRFLC

    Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

    Mimi nani hata ni Katae? Ninakiri kwa kinywa changu kuwa Biblia ni kitabu cha kweli na YESU KRISTO ni BWANA na Mwokozi. Na yeye ndiye njia, kweli na uzima.
  9. CRFLC

    Hii video huwa inanifikirisha sana

    Hiyo video ilisambaa sana mwaka jana wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Ukikutana na wahitaji halisi usisite kuwasaidia, hasa watoto. Maisha ni magumu sana kwa walio wengi. Mshukuru MUNGU kama una uhakika wa kupata mlo kamili wa siku.
  10. CRFLC

    Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Uko sahihi!! Mimi niliacha mahali fulani karibu 3m kizembe sana kwa mtindo huohuo wa mafundi kulazimisha matengenezo ambayo hayakuwa kwenye mpango.
  11. CRFLC

    Malisa: Polisi hawajatuachia kwa dhamana kama walivyosema, wala sijahojiwa kwa tuhuma za jinai

    Nimecheka sana peke yangu! Watu mnamisemo sana!
  12. CRFLC

    Walokole ni kundi maalum

    Huyu siyo mlokole, Usichanganye ulokole na imani nyingine kama hizi.
Back
Top Bottom