Recent content by Credible Viewer

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Sijui kama ni kweli, jamaa akiwemo mkwere wa kuchekacheka ka shoga wameumiza sana nchi hii!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Siri ya baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya imefichuka, kumbe baadhi yao..

    Na yule Changudoa wa Shinyanga aliyekuwa anacheza igizo la kuibiwa kwa dawa Zahanati ya Kambarage! Wakuu hawa wa Wilaya ndiyo wale aliyotuambia Roma Mkatoliki kuwa ni "...miradi ya upigaji" Ova
  3. C

    JamiiForums Tanzania Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    Ahsante kwa ufafanuzi nadhani huyo kilaza kakuelewa!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Wakati mwingine kama huna cha kuchangia kaa kimya!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Wacha ubishi wewe fisi!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakufika kwenye majimbo Matano tu!

    Kwanini usiende kumuelimisha mama yako ampigie kura huyo pombe wako!?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Hata mimi nashangaa! Huyu dogo anamdomo mchafu sana bora angekufa tu!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni balaa. Nchi za Ulaya na Amerika zaonya. CCM ilionywa mapema, ikamkata

    Me napenda tu kujua, kwani hayo mataifa ya nje yanayomkubali Magufuli kwa mujibu wa gazeti la Tazama, watakuja kuipigia kura CCM na huyo Magufuli wao!?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni balaa. Nchi za Ulaya na Amerika zaonya. CCM ilionywa mapema, ikamkata

    Kwahiyo nchi za ulaya ndiyo watakuja kuipigia kura CCM na Magufuli!?
  10. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Utaelewa tu ngoja ifike tar 25, labda afe tena mgombea urais soon tuahirishe uchaguzi!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa amewapoteza makada maarufu wa CHADEMA?

    Baelezee hao!
  12. C

    JamiiForums Tanzania MV Kikwete inazama?

    Too late now!
  13. C

    JamiiForums Tanzania NBS yasema Kingunge ni muongo, Thamani ya pato la taifa imeongezeka

    Wasiwasi wangu turn ni Kuwa wasije wakakupelela Kule wanakong'oaga meno name kucha bila ganzi! Maana hao jamaa ukiwazidi kwa hoja hutenda hayo!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Vyovyote itakavyokuwa kwanza sense Ikulu, halafu hayo maswali engine tutamuuliza baadaye, kwanza atuondolee CCM madarakani!
Back
Top Bottom