MV Kikwete inazama?

Thread nzuri sana hii, maono yako yametimia asilimia zooote.

Hongera sana mkuu !
 
Jasusi (what a name!) sijapotea, nipo, na hapa JF nakuja kila ninapopata nafasi. Nitakuwepo Dar soon (Ninakuwepo kila Noeli), na kama si nongwa basi tukutane. I roam the whole of Mbezi Beach.

Sasa huyu ndugu yetu aliyesema aliamua kuwa na baraza kubwa la mawaziri kwa ajili ya "program aliyokuwa nayo", anatuachaje?
Mwalimu,
Na mimi nitakuwa Dar wakati huo. Nitakutumia PM tukutane mahali.
 
Back
Top Bottom