Recent content by crayvt

  1. crayvt

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Shukhrani kiongozi. Ni sedan mkuu.
  2. crayvt

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Shukhrani kaka nimepokea kwa utendaji
  3. crayvt

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Shukhrani mkuu nimepokea. Tena kama hivi nakaa stop over.. huyo nitapita nimuone kabisa.
  4. crayvt

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Nikilisolve nitakuleteeni mrejesho.
  5. crayvt

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Shukhrani mkuu, nimelichukua mkuu.
  6. crayvt

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Unaona kazi hiyo. Inabidi urudi tena ununue control box
  7. crayvt

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Tena ni expensive stuffs.
  8. crayvt

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Ngija niwachungulie. Sitaki pia kuamini jiji kama la Dar hakuna professional mechanic sio wa kubahatisha
  9. crayvt

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Hahaha ni kweli
  10. crayvt

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Wadau habari zenu, Naomba kuulizia garage nzuri kwa gari ya Mercedes benz ukiachana na akina CFAO and co. Gari yangu C class w204 ilikua free of problems nikawa namtumia fundi mmoja kwaajili ya services na vitu vidogo. Recently gari ilikua ina knock baada ya kuikagua hata mwenyewe niliona ball...
  11. crayvt

    JamiiForums Tanzania Mzumbe ni Mzumbe tu

    Boss PM me... if you did mean you're from mbeya campus Sent using Jamii Forums mobile app
  12. crayvt

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wanaume hawapati HIV?

    No hapana.. Kuna kitu wadudu wote wa magonjwa wanacho kinaitwa "window period" yaan toka pale upate vvu mpaka vipimo vionyeshe kwa usahihi majibu.. sasa hapa kuna vipimo vya aina 2 kwa vvu. 1. kipimo maarufu tunachotumia "bioline" na mwenzake "unigold" hizi zitagundua maambukizi baada ya wiki...
  13. crayvt

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Nianze kwa kukupa pole. Kama umeenda hospitali na umeambiwa huna mbegu kabisa inawezekana ikawa kweli yaan una azoospermia. Vile vile inawezekana una low sperm count yaan oligospermia na hamkuelewana na daktari. USHAURI; 1.Kama unatumia tumbaku kwa jamii zake, pombe ama una uzito ulikithiri...
  14. crayvt

    JamiiForums Tanzania Viable Masters of Ceremonies

    ●Are you residing in Dar Es salaam and Pwani and you need master of ceremony for your event? ●Vitality ceremonial inc brings to you group of MC at reliable negotiation. ■Contact us through +255757514909 +255713514909 Regards.
  15. crayvt

    JamiiForums Tanzania kufana kundi la damu na mke mtarajiwa

    Kaka hapana mambo hayako hivyo..kweye damu hatuna cha chanya na chanya hukwepana...hakuna tatizo lolote kumuoa mtu mnaefanana nae au kutofautiana nae kundi la damu...tatizo linaweza kutokea endapo mwanamume mwenye protein iitwayo Rhesus factor akimuoa mwanamke asiye nayo (kwa kuelewa zaidi hizo...
Back
Top Bottom