Msaada kwa mtu aliyepata stroke ( ISCHEMIC)

kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,738
1,975
Wadau naomba msaada wenu kwa mtu aliyepata na Ischemic stroke je anaweza akapata tatizo la kama degedege au kama kifafa?

Maana mgonjwa wangu amepatwa na hiyo hali ni kama vile wakati mwingine anapatwa kama na kifafa/degedege, naombeni mdaada wenu juu ya hiyo na nini cha kufanya.

Asaenteni na pasaka njema!
 
Ndiyo inawezekana kabisa mkuu,kifafa au degege inaashiria kuna abnormal firing of neurons kwenye ubongo na sababu inaweza kuwa ni hiyo stroke yenyewe (imesababisha poor blood supply kwenye ubongo) au kitu kingine.

Jambo la msingi kama yupo nyumbani mpeleke hospitali haraka na kama yuko hospital acha madaktari wafanye kazi yao,kama yuko kwenye matibabu naimani ata improve kadri muda unavyoenda na hilo tatizo litaisha.
 
Oxygen ndiyo major therapy mkuu, hakikisha anapokaa kuna hewa ya kutosha na yuko kwenye positon nzuri ya kupumua.
Mkuu samahani ni kwa namna gani oxygen inamsaidia mgojwa huyo mwenye seizure of ischemic stroke??
 
Ndiyo inawezekana kabisa mkuu,kifafa au degege inaashiria kuna abnormal firing of neurons kwenye ubongo na sababu inaweza kuwa ni hiyo stroke yenyewe (imesababisha poor blood supply kwenye ubongo) au kitu kingine.
Jambo la msingi kama yupo nyumbani mpeleke hospitali haraka na kama yuko hospital acha madaktari wafanye kazi yao,kama yuko kwenye matibabu naimani ata improve kadri muda unavyoenda na hilo tatizo litaisha.
asante sana mkuu...!!!
 
Wadau naomba msaada wenu kwa mtu aliyepata na Ischemic stroke je anaweza akapata tatizo la kama degedege au kama kifafa? mana mgonjwa wangu amepatwa na hiyo hali ni kama vile wakati mwingine anapatwa kama na kifafa/degedege.
naombeni mdaada wenu juu ya hiyo na nini cha kufanya..!!
Asaenteni na pasaka njema...!!!!
Poleni sana Mungu ampe uponyaji,je mmenda hospitali?
 
Mkuu samahani ni kwa namna gani oxygen inamsaidia mgojwa huyo mwenye seizure of ischemic stroke??
Ischemic stroke inamaanisha kwamba ubongo haupati damu ya kutosha au haupati kabisa, na tunajua kwamba damu ndiyo inayobeba oxygen mwilini hivyo mgongwa akipata oxygen ya kutosha itasaidia kuongesa oxygen concetration mwilini mpaka kwenye ubongo.

Though kwenye case kama hiyo ya ischemic kidogo inaweza kuwa ngumu kwa oxygen kufika ya kutosha kutokana na kwamba kuna kuna mishiba ya damu imeziba lakini ajipata dawa itasaidia kuzibua mishipa ya damu na damu itaendelea kupita.
 
Ischemic stroke inamaanisha kwamba ubongo haupati damu ya kutosha au haupati kabisa ili na tunajua kwamba damu ndiyo inayobeba oxygen mwilini hivyo mgongwa akipata oxygen ya kutosha itasaidia kuongesa oxygen concetration mwilini mpaka kwenye ubongo though kwenye case kama hiyo ya ischemic kidogo inaweza kuwa ngumu kwa oxygen kufika ya kutosha kutokana na kwamba kuna kuna mishiba ya damu imeziba.
asante sana mkuu ....!!!
 
Ameshapata matibabu gani mpaka sasa hivi?
mkuu had hasa kwa usiku huu hajapata matibabu yoyote japo kuna dawa anazotumia including dawa za presha aliyonayo ila kwa Neema za Mwenyezi kesho atapelekwa hospitali...!!!!
 
Hakuna watu wa alternative medicine ya " WANAMALUNDI"? maana mtu akileta tatizo kubwa kwenye jukwaa kubwa namna hii linalopenya dunia nzima kwenye watu wenye mila ujuzi na uzoefu wa matatizo mbalimbali na suluhisho zao unaweza kukuta kuna mtaalamu mwenye ujuzi wa kutibu tatizo kubwa kirahisi kabisa.

Niliwahi kusikia kuwa kuna watu wamewahi kuparalize hadi mdomo kupinda lakini wanakutana na wataalamu wa asili wanaponyesha kiulaini kabisa.
 
Wadau naomba msaada wenu kwa mtu aliyepata na Ischemic stroke je anaweza akapata tatizo la kama degedege au kama kifafa? mana mgonjwa wangu amepatwa na hiyo hali ni kama vile wakati mwingine anapatwa kama na kifafa/degedege.
naombeni mdaada wenu juu ya hiyo na nini cha kufanya..!!
Asanteni na pasaka njema...!!!!
Mimi ninakupa huduma ya kwanza mgonjwa wako kumtibu Maradhi ya Ischemic Stroke Mgonjwa anywe kwa wingi chai ya Tangawizi, chai ya kilimnjaro Green tea.Mtengenezee supu ya mchicha au supu ya Sukuma wiki kila siku asikose kula, anywe maziwa halisi ya ng'ombe japo kwa siku mara 2 asubuhi na jioni, mgonjwa asikose kula juisi ya nanasi na juisi ya karoti kila siku mtengenezee nyumbani. Ukitaka nimtibie mgojwa wako Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.

Spinach-Pineapple-And-Carrot-For-Stroke.jpg

GREEN TEA PREVENT STROKE.jpg

Ginger-Helps-To-Prevent-Stroke.jpg
 
Back
Top Bottom