Najaribu kuangalia kama unachoongea kina mantic lakini siioni. Kwani hapo nikanisani kuwa wanaapa kwa jina la Rais, Kuwa na ukomavu wakiakili, wataapa kwa rais wa jamhuri ya muungano bila kutaja jina magufuri or whatsoever, usikurupuke tu, hii ni kwamujibu wa katiba, sasa wewe ulitaka waikatae...