CCM itashinda?, kujua hilo fungua hapa tafadhali!..

CCM itashinda?, kujua hilo fungua hapa tafadhali!..

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
"CCM itashinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,"

kupata vichekesho vingine kama hivi tuma " kichekesho" kwenda namba 15567
 
"CCM itashinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,"

kupata vichekesho vingine kama hivi tuma " kichekesho" kwenda namba 15567


EDWARD Lowassa, mgombea urais wa Chadema amesema, Rais Jakaya Kikwete ameharibu uchumi wa Tanzania. Anaandika Pendo Omary … (endelea).

Akizungumza na wafuasi wa Chadema na UKAWA katika ofisi za Chadema mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais kupitia chama hicho amesema, “rafiki yangu Jakaya Kikwete ameuharibu uchumi wa nchi yetu,” ameongeza: “Wakati Rais Mkapa anaondoka madarakani kilo ya sukari ilikuwa Sh. 600 leo ni Sh. 2,300. Mchele ulikuwa Sh. 550 leo ni Sh. 2,300. Sembe ilikuwa Sh. 250 leo ni Sh. 1,200.”

Aidha Lowassa amesema, katika kipindi cha utawala wa Rais Kikwete ndipo Tembo na kila aina ya wanyama wameuwawa kuliko kipindi chochote katika historia ya Tanzania.
“Katika utawala wa Rais Kikwete, Tembo wameuwawa kuliko kipindi chochote katika historia duniani kote. “Kila aina ya mnyama ameuwawa kuliko kipindi chochote katika historia ya nchi yetu.

Nitaijenga serikali yenye uchumi kwa speed (kasi), ambaye hawezi akae pembeni,” amesema Lowassa.

Chanzo: MwanaHalisi Online
 
Hili ndo jembe tunalolitaka. Mheshimiwa Lowassa niukweli usiopingika watu walikuhukumu kuwa u fisadi, lakini tuliwaomba kama u fisadi basi wachukue hatua dhidi yako, lakini mpaka hivi tunavyohangaika humu jamvini hakuna chochote walichokifanya.
Ndg Lowassa Watanzania tuna imani kubwa sana nawe.Hili nikufuatia kazi zako za ujenzi wa shule za kata na ufuatiliaji wako mzuri mpaka kufikia hatua yakusimamisha baadhi ya mikataba ilokua inasuasua, tunaimani na kauli hii ya maendeleo kwa speed na ambae hawezi basi akae pembeni. Tunajua sasa kuwa hata Richmond ulitaka kuifutilia mbali lakini Mkulu wa kaya akasema lazima iendelee, kwakua ulikua chini yake ukawa huna jinsi. Tunakuombea sana katika safari hii ya uraisi uimalize salama ukiwa na afya tele na wale maadui zako wakushuudie ukiwa Ikulu ya magogoni.

Chadema oyeeee! Ukawa oyeeeee!
 
Hapa Mwanza habari inayoongelewa kila sehemu ni lowasssssssssss kamfunika magufuli japo yeye ndo kwao
 
Back
Top Bottom