Recent content by Coz B

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe Mwanaume ukiliona hili kwa Mpenzi wako jua umefanikiwa au hujafanikiwa kumfikisha Uhuru peak

    Daaa...yani mpaka namaliza kusoma nabaki natabasamu tu [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]...kwakweli najionea hali ya ushindi..#kazikazi..
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha wengi wao hufanya mapenzi na wasugua kucha

    Duu...hii kali aisee...ila Kama kuna mwanaume anayeruhusu mkewe akasuguliwe kucha na Hii mijamaa atakuwa ana kasoro..ila inaonekana wengi wa wadada wanaopenda kusuguliwa kucha na hawa Jamaa wanafanya kwa siri..kwa asilimia kubwa waume zao hawajui kamchezo haka. Hii ni changamoto Kwakweli.
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

    Kama umeanza kuelewa ivi...kaka endelea kushusha vifungu takatifu ataelewa tu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Eti kweli jamani???

    tena udhalilishaji wa kijinsia....
  5. C

    JamiiForums Tanzania Eti kweli jamani???

    hahahaha....ila Kama kuna kaukweli flani ivi...Lakini dume zima unaanzaje kupaka mafuta kalio aiseeee...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Tundu Lissu

    kweli aiseee...nami nimeshtuka kuona marehemu Kalonzo Musyoka...
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanga mbali lakini nitakuja hata kwa miguu

    hahahaha....wahenga walisema mpania maji hayanywi kaka...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nauza photocopy machine IR 2420

    unapatikana wapi mkuu?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni next level na anaijua siasa ya Tanzania

    hatwari kwakweli....
Back
Top Bottom