Recent content by COVID -19

  1. C

    JamiiForums Tanzania R.I.P Gene Deitch (creator of Tom and Jerry)

    Daaaah,kumbe mpaka Popeye ni yeye? huyu mzee atakua alikuwa na IQ kubwa sana R.I.P....Popeye mzee wa spinach
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani walozi usiku wakimgusa mtu, wanaweza ambukizwa Corona?

    Ni kama popo popobawa tu kipindi kile Haukuwahi kusikia waliopitiwa na popobawa kupata mimba au kupata maambukizi yoyote ya zinaa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Harmonize balozi mpya wa CRDB Bank. Kijana anachanja mbuga asee

    Hata Shilole nae alikuwaga balozi wa CRDB akapata mihela miiiingi….akafungua mgahawa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Watu wanalala bwana! Drake analalia godoro lenye thamani ya takriban Tsh. Bilioni 1

    Ukiwa nazo nyingi utatafuta tu jinsi ya kuzitumia
  5. C

    JamiiForums Tanzania Diamond na Harmonize wampe somo AliKiba

    yoooo….yeeababaaa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tuacheni u team jamani tuseme tu ukweli mavazi ya Diamond

    Na ilo jambo amefanikiwa ndomaana mpaka uzi umefunguliwa tunamuongelea hapa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Waathirika wa Corona (COVID-19) wafikia 49 kutoka 32

    Na vipi kuhusu Wuhan??!!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Waathirika wa Corona (COVID-19) wafikia 49 kutoka 32

    Kuna mkuu wa mkoa mmoja, yeye kila siku alikua anakusanya watu ili awahimize watu aliowakusanya kupunguza mikusanyiko Naona sasa takwimu za mkoa wake yeye ndo kinara wa maambukizi Tz!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Character yupi wa Prison break alikuvutia?

    Alikuwa T-bag..tena nakumbuka alimeza funguo katika situation mbili tofauti 1.walipotoroka tu jela,akajifunga pingu mkono wake na wa scorfield ili wasimtoroke,halafu funguo akameza...ila jamaa walikuja kumkata mkono,daaaah hii seris kiboko 2.na mara nyingine ndo wakampa bakuli aende akaunye
  10. C

    JamiiForums Tanzania Character yupi wa Prison break alikuvutia?

    Fernando Sucre mzee wa malavi davi Abruzzi, huyu ndo alikua kiboko ta T-bag Alex Mahonne, genious wa pili ukimtoa Michael Scorfield hii seies pamoja na 24 itabaki kuwa best ever miaka yooote!!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Character yupi wa Prison break alikuvutia?

    Unaacha kuangalia series tamu balaa kisa tu umesikia baada ya kuambiwa jamaa ni shoga...yaaaan umesikia tuuu Ajabu Zaidi bado unatazama maseries kibao ambayo ndani yake yanaonyesha kabisa ushoga!! unajitekenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe,hehehehehe
Back
Top Bottom