Recent content by coutinhotz

  1. coutinhotz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Vipi Kuhusu Gaming Fifa22 Au GTA V inacheza Kwa Hiyo Desktop Chief Ikiwa Na Spefication Hizo Hizo
  2. coutinhotz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lenovo think Pad X260

    Chief Naomba Ushauri Hii Inaweza Kufaa Wa Heavy Duty Android Programming Issues Na Graphics Kwa Bei Hiyo
  3. coutinhotz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Inakuaje Hiyo Chief App Ipi Hiyo
  4. coutinhotz

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Nakubali Soka Inapigika Aiseeee Hapo Bado Mpiga Simu Anarudi
  5. coutinhotz

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Hawa Arsenal Kama Uhakika Hivi Washika Bunduki
  6. coutinhotz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VODACOM KASI INTERNET

    Chief Hii Unaangalia YouTube Na Kustream Social Media??
  7. coutinhotz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VODACOM KASI INTERNET

    Wenye Feedback Ya Huduma Ya Vodacom KASI Internet Unlimited Za Speed Kubwa Na Ndogo Ningependa Kufahamu Kama Inasaidia Na Hili Janga La Bundle
  8. coutinhotz

    JamiiForums Tanzania Formula gani nzuri kwa ajili ya kuku wa nyama?

    Nashukuru sana
  9. coutinhotz

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya broiler vimekuwa taabu sana kupatikana, nifanye nini?

    Mpk 1500 Kwa kibo
  10. coutinhotz

    JamiiForums Tanzania Formula gani nzuri kwa ajili ya kuku wa nyama?

    Kweli kwa sasa vyakula vimepanda Bei sana vya broiler yan inafika hatua mpk inakatisha tamaa kuendelea kufuga ila ukisema uchakachue kuku nao unakuta wanadumaa unapata hasara kubwa zaidi yani ni changamoto kwa kweli
  11. coutinhotz

    JamiiForums Tanzania Formula gani nzuri kwa ajili ya kuku wa nyama?

    Ningepata link group la WhatsApp la ufugaji ingekuwa poa nipate maarifa zaidi kuhusu ufugaji
  12. coutinhotz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Speed Ya 25K Ipo Vipi Kwa Users Wa 4 Home Users
  13. coutinhotz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu Bajeti ya Laki Tatu

    Nimenunua Mtaa Wa Aggrey Pale Chief Walinianzia 380K Sema Nilizunguka Kweli Maduka Mengi 420K Mwisho 390K Nikabahatisha Duka Moja Mtaa Huo Ndio Nikachukua Mkuu Vipi Lakini bei Ipo Sawa Maana Nikawa Na Wasiwasi Isije Ikawa Copy Au Namna Fulani Walifungua Kwenye Seal Kabisa Lakini
  14. coutinhotz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu Bajeti ya Laki Tatu

    Nimefanikiwa Kununua Redmin10C Kwa 360K 4GB Storage 128GB Changamoto Kuweka Gcam Nikajaribu Install Google Camera Haisuport Inakuaje Hiyo Chief
  15. coutinhotz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu Bajeti ya Laki Tatu

    Tigoshop Wanasema 390K 64GB Na 128GB Hawana Ila Wengine Naona Wanauza 350K to 128GB Inakuaje Chief OG Kweli Na Unazitambuaje Fake Na OG
Back
Top Bottom