Recent content by Costantino mnyanga

  1. C

    JamiiForums Tanzania Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Leta udhibitisho hapa hatutaki porojo
  2. C

    JamiiForums Tanzania CUF wapinga Uteuzi wa Prof. Muhongo

    Humu ndani vichwa vya panzi tupu. Yaani mtu ukiwa ccm ni dhambi kubwa duniani na mbinguni. Hoja ndogo mnatumia nguvu kubwa sana ndiyo maana wenye akili wamewaacha na ujinga wenu. Shem on you ccm!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    Kuna mtu anafikra za udini mpaka leo?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hii ni kweli ya Magufuli au ni safisha UKAWA na visasi?

    Hamja muelewa mtoa mada au ndo mapenzi kwa magu yamezidi?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hii ni kweli ya Magufuli au ni safisha UKAWA na visasi?

    Hamja muelewa mtoa mada au ndo mapenzi kwa magu yamezidi?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Lowassa ndo rais wetu wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.wengine ni wasindikizaji na mabondia
  7. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa atoa pole kifo cha Celine Kombani

    Mungu amlaze mahala pema ndugu yetu CELLINA KOMBANI
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona leo: Kama ushabiki huu watu wataugeuza kura, CCM itang'oka kwenye majimbo mengi

    Habari ndo hiyo ccm wataisoma namba october 25,2015.nawashauri wajiandae tu kisaikolojia kuwa wapinzani na sio wanakuwa na vitisho kama jana alichofanya bwana abdala bulembu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Viongozi wa CCM wa kata ya Mkomazi na wapiga kura 1,400 wa CCM wahamia CHADEMA

    Poweeeeeeer...! mimi pia nimeshuhudia habari hiyo kutoka korogwe kupitia ITV habari za saa
  10. C

    JamiiForums Tanzania Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

    Nipeni na mimi detail izo.mnaweza kunisaidia kupitia 0712451405 au costantinomnyanga@gmail.com
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wagombea wamesahau kuwa taifa linaombewa

    ccm lazima iondoke madarakani maana hamna namna waondolewe tu!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa leo Kiomboi, Singida

    Ushindi lazima..
  13. C

    JamiiForums Tanzania Marando: CHADEMA waliongea na Lowassa akiwa bado ndani ya CCM

    Dr benson bana ndo mwl wenu wa uchambuzi wa siasa ambaye ni kada wa ccm hii hatari.. ccm mtalia sana mwaka huu ukawa mbele kwa mbele kamwe haturudi nyuma..
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kariakoo: Watu waliovalia mavazi ya CCM wazomewa na machinga

    Hata mimi nimeshuhudia watu wakizomewa walio vaa mavazi ya ccm kwanzia mida ya saa nane mchana leo wakikatiza maeneo ya k/koo na kuanza kuzomewa na wafanya biashara wa k/koo kwakweli ccm imechokwa vibaya..
Back
Top Bottom