ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,967
ameen Mungu aweke roho ya marehemu pahala pena peponi
Kumbe Magufuli naye ana FB page?acha kupotosha watu nenda kwenye fb page yake ameandika RIP CELINE KOMBANI
Kama alisema maneno haya (nahakika huwezi kumsingizia marehemu) basi ni sababu tosha kwa hawa wafuatao kutubu kwa Mungu ikiwa ni pamoja na kuomba msamaha hadharani kwa kauli zao walizo pata kuzitoa la sivyo wataacha wajane siku si nyingi.Lowasa anastahili kuw rais. Pamoja na Celina kombani kumsema vibaya lowasa but lowasa hajachukia. Celina aliwahi kumkashifu lowasa kwa maneno hay: BORA AMEONDOKA ASITUFIE SISI AKAWAFIE CHADEMA
View attachment 290947
inalilllah wa inalilah rajun!
...yuko bize akimkejeli lowassa kwa push ups...anasahau kuwa afya ya mtu si siasa....Magufuli yupo kimya tu
Ameeeeeeen
Naona umeanza kuwa na akili timamu.... Hongera
View attachment 290947
inalilllah wa inalilah rajun!
No matter how I hate him!
Kwa kweli namuomba Mwenyezi Mungu anisamehe kwa kudhihakiafya ya huyu mzee wa watu mitandaoni .kumbe naweza kutangulia mimi ninaye jiona mzimanikamwacha anadunda .. ... kuna kitu ki kikubwa sana nimejifuza .
Kwa maana hii sasa nimekubali kumpigia kura kwa dhatikabisa toka moyoni!
[/QUOTE
Hongera naona pepo ccm limeanza kukuacha huru