Wakuu mnaifafahu ARMY OF THE DEAD!filamu ya kwanza kabisa ya kutisha na kuonekana zombi au mnaongelea hz movie za kitoto MTU akiingia kwenye gari linagoma kuwaka!anzeni hiyo kwanza
Baada ya Donald trump na jin xhiping kukutana na kusitisha vita ya kibiashara kwa siku 90 China yanunua soya kwa mabilioni kitoka U.S ...lkn kilichotokea imenufaika serikari si wakulima pesa zote zilizotolewa na China trump amekata asilimia%90% ya ushuru bila kujua anaumiza watu wake lkn uchumi...
To Iranian president kimsboy!iwapo itathubutu kugusa au kutishia RAIA wa marekani uenda Iran ikapata kipigo ambacho wachache wamewahi kukipata katika historian!ile milima wakaichukue kama wana uwezo huo si ya kwao waende sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.