Kimsboy

Mbona rahisi tu mkuu,wewe anzisha post za kuziandika hizo nchi anazozipenda yeye na zisifie nchi anazozikandia,demokrasia Kila mtu na mapenzi yake
Nalog off
 
Naona humu kila post yako inakandamiza US.why sijaona Taifa lengine zaidi ya US.naona umekomaa na Russia. Hezbollah,Irania,Iraq,China,
kajambe mbele😂😂😂😂😂ulitaka nipost habari za kuisifia Washington kila kitu???hamtaki tubalance kwenye ukweli?
 
Naona humu kila post yako inakandamiza US.why sijaona Taifa lengine zaidi ya US.naona umekomaa na Russia. Hezbollah,Irania,Iraq,China,
MKUU ANZISHA POST ZA KUIPENDA US. HILI NI JUKWAA LA KIMATAIFA NA SIO KURASA ZA INSTA ZA MANGE NA WEMA.
 
Back
Top Bottom