Kimsboy na hao Iran wako wewe ni Jihad

Kimsboy na hao Iran wako wewe ni Jihad

Cosovochina

Member
Joined
Dec 11, 2018
Posts
8
Reaction score
7
To Iranian president kimsboy!iwapo itathubutu kugusa au kutishia RAIA wa marekani uenda Iran ikapata kipigo ambacho wachache wamewahi kukipata katika historian!ile milima wakaichukue kama wana uwezo huo si ya kwao waende sasa
 
Anayemtishia mwenzake nani sasa mkuu. Marekani ndiye anahangaika akisikia jamaa katengeneza Bomu utaskia analalamika, akisikia kafunga mfumo flani utaskia analalamika.
Hivi ulishawahi kuskia NK au Iran wanalalamika Marekani akizinfua mfumo au bomu au ndege za kivita?
Anayelalamika ndiye amfuate mwenzake
 
Mleta mada anaonekana kichwani ni mzito mno wa kudigest mambo,
iran hajawahi kutishia mtu,yuko zake kimya anajiundia zana zake za kujilinda,

iran mpaka sasa hauziwi ndege za kivita na nchi yeyote ile,ikiwemo Russia,

hata zile za abiria mliona alitoa order ya dreamliner 300 kwa mpigo,
wamarekani wakaona bora wakose hela ila iran asipate ndege,

sasa ili kufidia tatizo la ndege kwakuwa wao bado capacity yao ya kuunda ndege ni ndogo,wakaopt kutengeza makombora,

marekani na wenzake sasa wanalalamika ina maana hawataki iran awe na makombora eti atawashambulia,

sasa hapa kiuhalali nani ana matatizo?,

iran hana shida ya kuanzisha vita,hata doctrine yao ya vita siyo Pre emption
 
Watu hawataki kukubali na ukweli kuwa marekani hasa ndio tatizo,
Putin amejitahidi sana kuwaweka karibu wamarekani ili waache uhasama na waishi vizuri kwa amani wakifanya biashara kwa faida ya wanadamu wote,
kumbe marekani hajaacha uhasama anaendelea kusogeza silaha na kuunda base za kijeshi kuizunguka Russia,anawarubuni majirani wa russia wajiunge na NATO,anatafuta sababu ya kuweka vikwazo kila mara,
imefika hatua hata Putin sasa kachoka kuwanyenyekea hawa watu,always wako na nia ovu(ulterio motive).

So hata kwa iran,lengo lao wanataka ibaki weak,bila silaha za kujitetea ili wakitaka kuvamia iwe ni cakewalk,
 
kwaiyo us anataka kuivamia iran

na kama ni kweli sasa iran ana uwezo wa kusimama na us kijeshi ata kwa mwaka mmoja tu

lengo la base za iran syria nn mkuu
 
To Iranian president kimsboy!iwapo itathubutu kugusa au kutishia RAIA wa marekani uenda Iran ikapata kipigo ambacho wachache wamewahi kukipata katika historian!ile milima wakaichukue kama wana uwezo huo si ya kwao waende sasa
Milima gani hiyo ambayo unataka Iran wakaichukue ??
Sehemu gani ya IRAN inakaliwa kimabavu na taifa lingine??
 
@RichardIrakunda
hata mtoto wa chekechea anajua US wana ambition ya kuivamia iran,
as kuhusu iran ataweza kusimama na marekani hata kwa mwaka mmoja,
iran atasimama na marekani kwa miaka zaidi ya 20 endapo marekani atavamia iran,
huo ukweli ndo unawafanya marekani waone njia ya mkato ni kuiangusha iran kwa kutumia wapinzani wa ndani wa iran kwa kuwapa kila aina ya msaada,
kuivamia iran kunataka maandalizi makubwa kama yale ya desert storm 1991.
Wanatakiwa wanajeshi zaidi ya 100,000 wa marekani na vifaa vya kutosha,
iran hawezi kusubiri marekani afanye military buildup wakati yeye amekaa tu,
ndo kisa sasa cha iran kujitanua Iraq,lebanon,syria,yemen,afaghnistan na pia bahran,
hizo zote ni military strategy plan ku counter tishio la marekani dhidi ya iran
 
Hizi nondo mnazipataga wapi.?D😀😀

Kumbe ndo maana Trump analalamika kuhusu Iran malignant activity in middle East kumbe anajua lengo la Persian boys ni kujilinda dhidi ya possible US invasion.
 
JUZI WAZIRI WA ULINZI WA MAREKANI AMESEMA WANAWASIWASI MKUBWA NA MAKOMBORA WALIOTEST JUZI IRAN, KWA SABABU YAUWEZO WA KUBEBA VICHWA VYA NUK NA YANAWEZA KUPIGA SEHEMU YYTE MASHARIKI YA KATI NA ULAYA.
 
@RichardIrakunda
hata mtoto wa chekechea anajua US wana ambition ya kuivamia iran,
as kuhusu iran ataweza kusimama na marekani hata kwa mwaka mmoja,
iran atasimama na marekani kwa miaka zaidi ya 20 endapo marekani atavamia iran,
huo ukweli ndo unawafanya marekani waone njia ya mkato ni kuiangusha iran kwa kutumia wapinzani wa ndani wa iran kwa kuwapa kila aina ya msaada,
kuivamia iran kunataka maandalizi makubwa kama yale ya desert storm 1991.
Wanatakiwa wanajeshi zaidi ya 100,000 wa marekani na vifaa vya kutosha,
iran hawezi kusubiri marekani afanye military buildup wakati yeye amekaa tu,
ndo kisa sasa cha iran kujitanua Iraq,lebanon,syria,yemen,afaghnistan na pia bahran,
hizo zote ni military strategy plan ku counter tishio la marekani dhidi ya iran
sasa lakini mbona iran yeye anajitanua kumfata israel na sio US

sijawai kusikia pentagon wakisema wataivamia iran zaidi ya kulalamika tu

lkn iran ameshawai kutamka anampango wa kuipiga israel

hakuna kundi linalosapotiwa na us kijeshi kumpiga iran lkn iran anasapoti makundi kama hizbullah kumshambulia iran

sasa apo nan mkorofi
 
@RichardIrakunda
hata mtoto wa chekechea anajua US wana ambition ya kuivamia iran,
as kuhusu iran ataweza kusimama na marekani hata kwa mwaka mmoja,
iran atasimama na marekani kwa miaka zaidi ya 20 endapo marekani atavamia iran,
huo ukweli ndo unawafanya marekani waone njia ya mkato ni kuiangusha iran kwa kutumia wapinzani wa ndani wa iran kwa kuwapa kila aina ya msaada,
kuivamia iran kunataka maandalizi makubwa kama yale ya desert storm 1991.
Wanatakiwa wanajeshi zaidi ya 100,000 wa marekani na vifaa vya kutosha,
iran hawezi kusubiri marekani afanye military buildup wakati yeye amekaa tu,
ndo kisa sasa cha iran kujitanua Iraq,lebanon,syria,yemen,afaghnistan na pia bahran,
hizo zote ni military strategy plan ku counter tishio la marekani dhidi ya iran

USA kumuangamiza muIran haizidi wiki moja, cha kwanza ni kujam (Electronic warfare) ambapo hakuna ndege wala silaha ya Muajemi inayotegemea Electronics itafanya kazi na hata mawasiliano ya Iran yote (Radio,Telecomunications e.t.c) yatakatwa and finally Muajemi hatasurvive hata kufikia muda wa hizo siku saba nilizosema
 
sawa luten jeneral lkn kama ingekuwa ni hivyo basi us angeshampiga iran na venazuela kitambo saana electronic weapon zinauwezo wa kudhibiti eneo dogo saana na sio juu ya 50%
 
USA kumuangamiza muIran haizidi wiki moja, cha kwanza ni kujam (Electronic warfare) ambapo hakuna ndege wala silaha ya Muajemi inayotegemea Electronics itafanya kazi na hata mawasiliano ya Iran yote (Radio,Telecomunications e.t.c) yatakatwa and finally Muajemi hatasurvive hata kufikia muda wa hizo siku saba nilizosema
Ingekua rahisi ivo kama unavyoamini wewe
Basi leo hii shaha angesharudishwa pale TEHRAN:

VITA NI VITA MURA .........
 
kwaiyo us anataka kuivamia iran

na kama ni kweli sasa iran ana uwezo wa kusimama na us kijeshi ata kwa mwaka mmoja tu

lengo la base za iran syria nn mkuu
Kwan Lengo La Base Za US Iraq Ni Nn ?!

Ama US Ana Haki Yakueka Base Zake popote Ulimwenguni Lakini IRAN Hana

Malengo yanayo wafanya wa US kua Na Base Nje Ya Nchi Yao Ndio Same As IRAN Kua Na BASE SYRIA

IRAN Anawatesa Sana Asew [emoji3][emoji3][emoji16]
 
Teh Teh[emoji23][emoji16]
USA kumuangamiza muIran haizidi wiki moja, cha kwanza ni kujam (Electronic warfare) ambapo hakuna ndege wala silaha ya Muajemi inayotegemea Electronics itafanya kazi na hata mawasiliano ya Iran yote (Radio,Telecomunications e.t.c) yatakatwa and finally Muajemi hatasurvive hata kufikia muda wa hizo siku saba nilizosema
Hizi EW Kwanza Angezitumia Wakati Anapambana Na Saddam Hussein Pale IRAQ Ama Azitumie Dhidi Ya Taleban[emoji3][emoji23][emoji16]

Ama Toka Mwaka 1979 Wakat IRAN Wanafanya Mapinduzi Yalouondoa Utawala Wa SHAH Madarakani Pale IRAN Mpaka Leo US Kwa Nn Hajatumia Hio Nji Ya WE Kuingia Vitani Dhidi Ya IRAN Ili Amshinde IRAN Fasta Na Kuueka Utawala Anao Utaka

Mnateseka Sana Na Misimamo IMARA Ya WAAJEMI [emoji16][emoji16][emoji16][emoji12][emoji14]
 
Back
Top Bottom