Recent content by cosma titus

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Wizara ya Elimu ipo likizo? Ndalichako huyaoni haya?

    Msubiri atakuja kukusaidia huku jamii forum.kama ndiyo ofisi ya ndalichako
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Wizara ya Elimu ipo likizo? Ndalichako huyaoni haya?

    Ila mkuu ndalichako hayupo huku jamii forum. Tatizo kama hili kuna sehemu sahihi ya kulifikisha
  3. C

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu mpya wa TANESCO wakulipa deni ni kiashiria tosha kuwa hawataki sisi wenye hali ya chini tutumie umeme

    Wana machungu mkuu kwa kubomolewa jengo Lao pale ubungo.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

    Nakuunga mkono mkuu.sema tu ana kaukorofi fulani.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?

    Prof David mfinanga anafaa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Account yangu imeingizwa boom mara mbili batch 2&3

    Hiyo hela utailipa niamini. Kuna rafiki yangu ilimtokea wakamwita aende na identity card then wakaichukua na siku mbili mbele kulikuwa na test na unapaswa kuwa na ID. Ikabidi apambane arudishe hela
  8. C

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA. Apoteza imani na upinzani katika kupambana na ufisadi

    Njaa kali ndugu vyuma vimekaza.if you fail to attack enemies join them
  9. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Tuko pamoja mkuu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Uwalimu au ualimu?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Humphrey Makundi aliyeripotiwa kupotea, apatikana akiwa amefariki na kuzikwa

    Duh pole kwao wahusika. Nililiona tangazo hakika inasikitisha
  12. C

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidieni niweze kurudisha Ajira yangu ya Utumishi wa Umma

    Aysee ni kweli kabisa mkuu ni changamoto kubwa sana.barua inatumwa kwa katibu mkuu menejimenti ya utumishi wa umma kuomba kuendelea kutumia ile cheque number ya mwanzo.Lakini barua lazima ifanyiwe kazi na katibu mkuu kiongozi ili amwaandikie barua mwajiri nini la kufanya . ikumbukwe kwamba barua...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wizara: Ni sahihi kuchoma vifaranga na utaratibu unatambulika kimataifa, yarusha lawama kwa waliosambaza picha

    Ni ukatili mkubwa sana.ingethibitika kwanza kwamba wana mafua ya ndege na ndipo waangalie njia sahihi ya kuviharibu Cyo kuchoma viumbe hai.
  14. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, mmeagana na nyonga katika kumpokea Nyalandu na wengine wa aina yake?

    Ccm ni sehemu ya kutenda dhambi lakini chadema ni sanduku la maungamo
Back
Top Bottom